Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Kwanza mwanamke hadi akifika 25 kuendelea ukikuta amedate na mtu mmoja tu muda wote ni miracle. Wengi wanakuwa na foleni ya maX.

Kuna wa one nyt stand, wale walikuwa wanapiga pumbu tu, kuna wale walikuwa wanahonga tu, then kuna wale waliotumia ambush yaani kapiga leo kesho demu hata haelewi ilikuwaje.....

Ndio maana vijana sikuhizi hawaoni ufahari wa kufanya harusi maana hauwezi jua kuwa miongoni mwa wataokuja kwenye sherehe watakuwa ni watu waliokwishalala na huyo mwanamke.

Aisee kuna ufahari na umaridadi ukioa mwanamke ambae umeanza nae wewe babu. Mtoto akikutazama anaona shebabi aliyenifungua.... Na wewe unaona mwanamke niliyeanza nae mimi.....

Hapo lazima mikosi ipungue katika ndoa.....

Unakuja unaoa wadangaji hawa wamjini mtoto wa kike miaka25 amepitiwa na wanaume sasa imagine unawapa watoto wako mama wa aina gani....

Imagine na sisi mama zetu wangekuwa hawajakulia age ya maadili. Wawe wamepitiwa na wazee tofauti tofauti. So mzee unakatika kijiwe cha watu wazima unasikia watu wanamzungumzia mama yako kuwa walishamla..... Seeeeeeeee ptuh wanawake wa sasa mtajibu nini kwa mola......
 
Hapa naongezea tena yaani hakuna Wannawake wajinga kama hawa walio enda shule isipokuwa wachache sana ambao ni wa kuwamulika kwa tochi ili uwaone.
 
Mtoa mada hujakutana na karaha ya kua na mahusiano na vitoto vya miaka 20 to25 wewe....havijui chochote,akili zao zipo m.atakoni vinasumbua kweli...ukiwa na msichana 26+ angalau wanajitambua
Yeah wanajitambua coz washa pitia hizo changamoto.
Changamoto zipi naongelea za kutolewa usichana kisa tu peer groups. Kuwa na mahusiano kufurahisha watu. Kuumizwa. Ndio maana akifika 27+ anataka atulie. Anakupa mzigo kwa sababu anakuelewa
 
Yeah wanajitambua coz washa pitia hizo changamoto.
Changamoto zipi naongelea za kutolewa usichana kisa tu peer groups. Kuwa na mahusiano kufurahisha watu. Kuumizwa. Ndio maana akifika 27+ anataka atulie. Anakupa mzigo kwa sababu anakuelewa
Sasa shida yao iko wapi??
 
Reactions: Cyb
Wewe tu upo toxic most of the times... His topics huwa unaziingia kiupinzani sana....

Wewe unajua wazi kabisa kuwa kuna mienendo ambayo sio kwa wanawake ambayo inawaletea matatizo kimahusiano huko mbeleni. Why sasa unakuwa kimbelembele sana kuitetea hiyo mienendo.....?!

Kama hilo alilolizungumzia mleta mada sasa unavyobisha tukueleweje kuwa halipo au umeamua tu kubisha?!

Sisi tupo huku mtaani na maeneo ya kazi tunawaona wadada. Na tunapokuja kusemea hapa ni kwasababu inatuuma na hatupendi.

Unadhani wanawake wangekuwa wanajitunza, wanaingia katika ndoa na kuishi maisha ya staha kuna mwanaume angekuwa anawasema kwa ubaya....?!

Hebu uwe unatumia japo hata figo kufikiria kama umeona akili na upeo wa haya mambo hauna.... Huwa unaboa sana ila haujui msyuuuuuuuuu
 


Bwashee unatuumiza ujue, wenngine tumeshanasa sasa tunafanyaje?
 
Watu akili ndogo ndo huhangaika na ndoa aisee siku ukikaa na jamii nyingine Hilo jambo Wala halina mashiko Sasa mleta nada angekutana na watu wa hvo sijui angefanyaje huku watu wamecremisha ndoa na kuzaa Kuna jamii Hilo swala halipo kabisa
Tatizo mie mvivu sna kuandika ila Jana tu nilikuwa naongea na jiran ni Prof kwenye Chuo UCT hapa Cape Town South Africa kikubwa alinieleza Tujifunze kuheshim misimamo ya wengine ww kwako ndoa watt muhimu mwingine kwake sio hivyo kikubwa ili tuweze kufika salama naomba nirudie tna Tujifunze kuheshim misimamo ya wengine...

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
The way unacomment inadhihirisha wazi kuwa haujaelewa ajenda ya mleta mada na wewe unajadili jambo jingine.

Mleta mada anawaambia wanaume kuwa wasicheze na akili za wadada waliofika umri wa kuanzia 27 kuendelea kwa maana hawa akina dada wapo katika kipindi kigumu sana cha maisha ya mausiano na wanahitaji support na si kuchezewa. So kama mtu anajua hayupo serious nao basi awaache asiwachezee waolewe na watu wanye nia.

Wewe umekuja na hoja tofauti ya kuzungumzia swala la wanawake na utafutaji wa pesa na mali katika kuanza maisha ya mahusiano.

Hivi unaona hizo hoja mbili zinaingiliana....?!


Hebu usiwe unatumia mihemko, tumia akili na ufocus.... Kubishana hakukufanyi kuwa mwerevu bali unabakia na upumbavu kwenye maisha yako.
 
Hizi kashfa sasa

Eti wastaafu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole Sana. But the fact Ni kwamba marriage institution haivunjwi na mwanamke tu.

Hiyo mentality yenu kwamba elimu ya mwanamke inamfelisha kwenye ndoa kwa kumsababisha asitambue role yake inachekesha sana.
 
Uko sahihi mno Mimi wengi wanaozalilisha wanawake humu ni choka mbaya, wanaume matured huwezi kuta wanabishana vitu vya hovyo na wanawake
So kwa mfano wewe kutokana na uchangiaji wako tukikuhisi ni mdangaji na mjasiliamwili tutakuwa tunakudhalilisha?!
 
Labda wewe ndo hukumuelewa.

And for that reason we are not on the same page
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…