Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Mbona nilishakwambia unayeteseka ni wewe shoga[emoji4]Yako yepi
Au nimekutaja jina
Seems like unateseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona nilishakwambia unayeteseka ni wewe shoga[emoji4]Yako yepi
Au nimekutaja jina
Seems like unateseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza mwanamke hadi akifika 25 kuendelea ukikuta amedate na mtu mmoja tu muda wote ni miracle. Wengi wanakuwa na foleni ya maX.Kama mwanamume una ndoto za kuoa, umri mzuri wa Ke ya kuoa ni 19-25.
Huo umri bado ni samaki mbichi, unaweza kumkunja utakavyo.
Zaidi ya hapo ujiandae maana tayari keshakuwa nunda. Above 25 kuna uwezekano keshakutana na masahibu mengi kitu kitakachomfanya angie kwenye mahusiano kwa kujihami.
Hapa naongezea tena yaani hakuna Wannawake wajinga kama hawa walio enda shule isipokuwa wachache sana ambao ni wa kuwamulika kwa tochi ili uwaone.Kwa hii mentality labda ukaoe wewe tena marioo, shilole yule pale anagawa kama biscuit.
Nani kakwambia sisi wanaume tunashida na mwanamke mwenye elimu inayompa ujuaji badala ya kumpanua fikra na kuijua nafasi yake zaidi?!
Statistics don't lie, tazama uhalisia now days wanawake wanaokwenda shule wengi wao wanafeli kutambua roles zao, si katika malezi ya watoto, si katika majukumu ya nyumba na pia muhimu zaidi nafasi zao katika maisha ya ndoa na kwa mwanaume. Ndio maana wanaishiwa kupigwa pumbu na wanaume za watu, kuzalishwa na kuongeza idadi ya single mothers mtaani.
Wewe bishana na uhalisia kujifurahisha ila the day ukweli utakapokamilika katika macho yako hatutakuwa hapa kufanya tena discussion. Mimi nitakuwa na familia yangu wewe utaendelea na maisha umechagua.....
Yeah wanajitambua coz washa pitia hizo changamoto.Mtoa mada hujakutana na karaha ya kua na mahusiano na vitoto vya miaka 20 to25 wewe....havijui chochote,akili zao zipo m.atakoni vinasumbua kweli...ukiwa na msichana 26+ angalau wanajitambua
Umehamia kwenye matusi sasa.Mbona nilishakwambia unayeteseka ni wewe shoga[emoji4]
Sasa shida yao iko wapi??Yeah wanajitambua coz washa pitia hizo changamoto.
Changamoto zipi naongelea za kutolewa usichana kisa tu peer groups. Kuwa na mahusiano kufurahisha watu. Kuumizwa. Ndio maana akifika 27+ anataka atulie. Anakupa mzigo kwa sababu anakuelewa
Tusi liko wapi hapo?Umehamia kwenye matusi sasa.
Wewe tu upo toxic most of the times... His topics huwa unaziingia kiupinzani sana....Sio povu lazima tuwaambie ukweli mzibuke akili zenu kichwani, ujue wanaume wasio na mbele na nyuma ndio huhangaika na wanawake ili wajifariji mioyoni mwao badala ya kutafta maisha.
Kuna dada ni blog maarufu na nigeria ana hela zawadi kajipa range rover chakushangaza wanaume wasio na mbele Wala nyuma hata bicycle hawana wakawa Wana mshambulia na kumtusi. So kwa Africa wanaume wamepoteza uanaume wao asilimia zote
Wadada wengi siku hizi haswa walio fika miaka 27 na kuendelea wanakuwa ni waoga sana wa kuachwa na uwoga wa maisha. Kiufupi wana kuwa desperate kiasi fulani.
Tusidanganyane ndoa kwa mwanamke ni kitu kikubwa sana. Kina mpa heshima katika jamii. Mwanamke anaye fika hadi umri wa miaka 30 bila ya kuolewa anaonekana kama alikuwa anauchezea ujana wake kwa kubadilisha wanaume. Ambao kwa namna moja au nyengine ina ukweli fulani.
Ushauri kwa vijana wenzangu tuwe makini sana kudate na hawa wanawake. Kama kweli umempenda kwa dhati basi vizuri lakini kama unapita tu bora umwambie ukweli. Wanawake wa rika hili wana kiu ya ndoa na kupata mtoto kwa hali ya juu.
Sisemi kwamba mwanamke anaye kuwa na 27+ kisa haja olewa ni mbaya hapana. Tena wengi wao wanakuwa ni watoto wa kishua, wanapesa zao na elimu zao. Swali linakuja nani ATAMFUNGA PAKA KENGELE. Maana itakuwa kama wewe ndo unaolewa sasa.
Ukidate na mwanamke wa umri wa 27+ kuwa makini haswa kama kwenu mko vizuri, hapo naongelea mwanamke kama anatokea familia ya chini au kawaida. Kama hutamzawadia mimba basi ndoa. Jipange kwa hayo mawili. Ukisema una test kama wamo au hawamo jua fika unajitafutia matatizo.
Kama hauko tayari kuingia kwenye ndoa au kupata mtoto kaa mbali na wanawake wenye umri unaokaribia 30. Utanishukuru baadae.
Tatizo mie mvivu sna kuandika ila Jana tu nilikuwa naongea na jiran ni Prof kwenye Chuo UCT hapa Cape Town South Africa kikubwa alinieleza Tujifunze kuheshim misimamo ya wengine ww kwako ndoa watt muhimu mwingine kwake sio hivyo kikubwa ili tuweze kufika salama naomba nirudie tna Tujifunze kuheshim misimamo ya wengine...Watu akili ndogo ndo huhangaika na ndoa aisee siku ukikaa na jamii nyingine Hilo jambo Wala halina mashiko Sasa mleta nada angekutana na watu wa hvo sijui angefanyaje huku watu wamecremisha ndoa na kuzaa Kuna jamii Hilo swala halipo kabisa
The way unacomment inadhihirisha wazi kuwa haujaelewa ajenda ya mleta mada na wewe unajadili jambo jingine.Maisha lazima tushindane nayo. Enzi za mwanamke kukaa ndani kusubiri kupewa zilishaisha.
Enzi za mwanamke kuteseka baada ya mume kufariki kisa alikuwa Kakaa ndani analetewa tu ziliisha.
Sasa hv tunapambana. Unaweka mboga naweka ugali. Hao under 27 labda ndio desperate sababu hawajajijenga na wanaona maisha bila mwanamme hayaendi.
Over 27 is legit. Focused, ambitious and woke women.
Hizi kashfa sasaUkiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18+30.
Kama unataka mwanamke wa kuoa ambaye atakuheshimu na kukufurahisha otea kwenye 18-25.
Mungu mwenyewe alimteu mwanamke amzaye Yesu pindi Bikira Maria alipokuwa kwenye 17-19, akiwa bado mbichi kabisa....sasa wewe unaenda kuokota wastaafu wa 30-40 umekuwa nyumba ya kutunza wazee?
Huyo unakuta nae sasa hivi ndio anaelekea huko pumbavu mkubwa huyoHivi we Mzimaa kweli ?! Sasa naonaje Wivu kwenye swala kama hilo...Yani mtu ana miaka 30 Hajaolewa Mimi nione wivu !?
Tunahangaika nao Sababu tuna date nao
Lazima tujue tunadate nao vipi
Nilishamkosea
Nikitoka hapa nikaombe Toba[emoji1787]
Pole Sana. But the fact Ni kwamba marriage institution haivunjwi na mwanamke tu.Kwa hii mentality labda ukaoe wewe tena marioo, shilole yule pale anagawa kama biscuit.
Nani kakwambia sisi wanaume tunashida na mwanamke mwenye elimu inayompa ujuaji badala ya kumpanua fikra na kuijua nafasi yake zaidi?!
Statistics don't lie, tazama uhalisia now days wanawake wanaokwenda shule wengi wao wanafeli kutambua roles zao, si katika malezi ya watoto, si katika majukumu ya nyumba na pia muhimu zaidi nafasi zao katika maisha ya ndoa na kwa mwanaume. Ndio maana wanaishiwa kupigwa pumbu na wanaume za watu, kuzalishwa na kuongeza idadi ya single mothers mtaani.
Wewe bishana na uhalisia kujifurahisha ila the day ukweli utakapokamilika katika macho yako hatutakuwa hapa kufanya tena discussion. Mimi nitakuwa na familia yangu wewe utaendelea na maisha umechagua.....
So kwa mfano wewe kutokana na uchangiaji wako tukikuhisi ni mdangaji na mjasiliamwili tutakuwa tunakudhalilisha?!Uko sahihi mno Mimi wengi wanaozalilisha wanawake humu ni choka mbaya, wanaume matured huwezi kuta wanabishana vitu vya hovyo na wanawake
Labda wewe ndo hukumuelewa.The way unacomment inadhihirisha wazi kuwa haujaelewa ajenda ya mleta mada na wewe unajadili jambo jingine.
Mleta mada anawaambia wanaume kuwa wasicheze na akili za wadada waliofika umri wa kuanzia 27 kuendelea kwa maana hawa akina dada wapo katika kipindi kigumu sana cha maisha ya mausiano na wanahitaji support na si kuchezewa. So kama mtu anajua hayupo serious nao basi awaache asiwachezee waolewe na watu wanye nia.
Wewe umekuja na hoja tofauti ya kuzungumzia swala la wanawake na utafutaji wa pesa na mali katika kuanza maisha ya mahusiano.
Hivi unaona hizo hoja mbili zinaingiliana....?!
Hebu usiwe unatumia mihemko, tumia akili na ufocus.... Kubishana hakukufanyi kuwa mwerevu bali unabakia na upumbavu kwenye maisha yako.
Yani labda umpige huyo mwanaume nikiwa sipo around!Mimi ningemtandika haswaa
Mwanaume gani anakuwa na tabia za kidada namna hii