Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Yaani mtoa mada unasema.

Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.

Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
Hapo ndipo alipoteleza ila mada yake ipo vizuri na inaeleweka.
Sijui watu wanabisha nini....ila huo ndiyo ukweli aliousema.
 
Thread kama hizi ukifungua unaitupia huko jukwaa la mahusiano

halafu unatulia kimya unasoma comment,hamna kujibu comment

ya mtu hata mmoja,we ingia piga jicho sepa..Unafungua thread ngumu

kama hii hlafu unaanza kureply comment za uliowalenga,utachambwa hadi ujute.

kuna watu wamejitegesha wanasubiri uingie 18 zake,sasa wewe ushamchokonoa halafu unamsogelea..shauri lako Dollar hermees
 
Hiki kikao chetu pendwa cha wanaume kinakuja kuvurugwa na wadada wa above 27+ sasa hivi!Mark my words
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Unahangaika sana



 
Hii comment yako ndiyo jibu la huu uzi, both Me na Ke inabidi waelewe huu ukweli....jinsi huu upande wa pili unavyotoa mapovu ni jibu kwamba hakuna anayependa kuambiwa ukweli.
 
Hilo la ww kuwa mjinga upo sahihi
 
Yaani hii mada nyepesi sijui kwanini wenzangu hawajaielewa!? Wanatoa tu povu.
 
Usijifariji mkifika 35 nguvu za kiume zinaisha vijana tu wa 30 majogoo yao hayapandi mitungi sembuse huo umri mnatumia viagra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…