Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Yaani mtoa mada unasema.

Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.

Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
Hapo ndipo alipoteleza ila mada yake ipo vizuri na inaeleweka.
Sijui watu wanabisha nini....ila huo ndiyo ukweli aliousema.
 
Thread kama hizi ukifungua unaitupia huko jukwaa la mahusiano

halafu unatulia kimya unasoma comment,hamna kujibu comment

ya mtu hata mmoja,we ingia piga jicho sepa..Unafungua thread ngumu

kama hii hlafu unaanza kureply comment za uliowalenga,utachambwa hadi ujute.

kuna watu wamejitegesha wanasubiri uingie 18 zake,sasa wewe ushamchokonoa halafu unamsogelea..shauri lako Dollar hermees
 
Hiki kikao chetu pendwa cha wanaume kinakuja kuvurugwa na wadada wa above 27+ sasa hivi!Mark my words
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Unahangaika sana



Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
 
Huwa nacheka sana baadhi ya wanaume hapa wakisema "eti usiwachezee hisia zao", jamani wanaume amkeni usingizini usidanganye unachezea hisia zake ukipata chance ya kupiga mwanamke mwenye umri mkubwa aliyevuka miaka 25 kama bado hajachoka choka we chapa tu ila asikugeuze jumba la kustaafia(ndoa) baada ya ku-enjoy ujana wake (18 ~ 22). Binafsi naamini ni busara zaidi ukaoa mwanamke uliye-enjoy peak yake ya uzuri (18 ~22).

Ukweli ni hivi, Yeye ndiye anayekuchezea wewe kihisia. Maana baada ya watu kujipigia sana huko wewe ndio anakuona unafaa sasa kuishi nae muda ambao ameaza kuchoka alikuwa wapi kipindi bado mbichi (18~22)? Hapa alikuwa na watu aliowapenda zaidi, ila baada ya kumuona ameanza kuzeeka wakaingia mitini ili wewe unayeogopa "kumchezea" umuoe.

Ukweli utabaki kuwa ukweli asilimia zaidi ya 99, wanawake wazuri wanakuwa tayari wapo ktk serious relations au wameolewa pindi wafikapo miaka 25. Nje ya hapo kuna sababu kwa nini huyo mwanamke hajaolewa au hana mtu serious akivuka miaka 25 wengi wao ni hovyo sana either ana-standard za kijinga zisizo halisi.

Asikudanganye mtu, hakuna mwanamke asiyependa kuolewa sio dunia ya kwanza (kama U.S, Europe or Austrilia) wala ya tatu (kama TZ) unless awe amelelewa na single mother (not widow, big diference) au umri wake umevuka miaka zaidi ya 25 na hana mtu serious.
Hii comment yako ndiyo jibu la huu uzi, both Me na Ke inabidi waelewe huu ukweli....jinsi huu upande wa pili unavyotoa mapovu ni jibu kwamba hakuna anayependa kuambiwa ukweli.
 
Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.

Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.

Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
Hilo la ww kuwa mjinga upo sahihi
 
The way unacomment inadhihirisha wazi kuwa haujaelewa ajenda ya mleta mada na wewe unajadili jambo jingine.

Mleta mada anawaambia wanaume kuwa wasicheze na akili za wadada waliofika umri wa kuanzia 27 kuendelea kwa maana hawa akina dada wapo katika kipindi kigumu sana cha maisha ya mausiano na wanahitaji support na si kuchezewa. So kama mtu anajua hayupo serious nao basi awaache asiwachezee waolewe na watu wanye nia.

Wewe umekuja na hoja tofauti ya kuzungumzia swala la wanawake na utafutaji wa pesa na mali katika kuanza maisha ya mahusiano.

Hivi unaona hizo hoja mbili zinaingiliana....?!


Hebu usiwe unatumia mihemko, tumia akili na ufocus.... Kubishana hakukufanyi kuwa mwerevu bali unabakia na upumbavu kwenye maisha yako.
Yaani hii mada nyepesi sijui kwanini wenzangu hawajaielewa!? Wanatoa tu povu.
 
Nani alikwambia wanaume huwa tunastaafu kwenye game?

Mwanamke anatakiwa kukimbizana na muda maana reproductive age yake ni limited. Ndio maana ana mature fasta kuliko mwanaume, mwanamke akifikisha 45 game imeisha hiyo.

Lakini wanaume tukifikisha hata 35 ndo panakucha hata 40 bado tupo asubuhi....hivi umesahau ule msemo wa kiume kwamba life starts at 40?View attachment 1577075
Usijifariji mkifika 35 nguvu za kiume zinaisha vijana tu wa 30 majogoo yao hayapandi mitungi sembuse huo umri mnatumia viagra
 
Back
Top Bottom