rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 5,749
- 7,038
19-25 ndio soko pendwa, hao wengine ndio waleee wa 'ilitokea tu tukajikuta'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitaenda kwa lipi? Kwamba kuna sheria inakataza kutafuna K at their 20?Ukishaenda ndio utaelewa km ni 18 au form VI
Weka mkuu ili atleast nishawishike kuja PM.
Halafu njoo na Id yako ya siku zote.
Ukifanya hivyo nakugawia dada yangu hata kesho tule ubwabwa uwe shemeji yangu.
Katafune hao form 6 mkuuNitaenda kwa lipi? Kwamba kuna sheria inakataza kutafuna K at their 20?
Unadhani ni kwanini bado haujapata Hadi muda huu?public NO. alafu sina ID zaidi ya hii JF mkuu
Sasa ngoja niharakishe kupokea wokovu ili nikupumzishe na haya masimango.Inanihusu maana na mimi ni 27+[emoji4]
Hapo ndipo alipoteleza ila mada yake ipo vizuri na inaeleweka.Yaani mtoa mada unasema.
Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.
Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
Siogopi nasimangoSasa ngoja niharakishe kupokea wokovu ili nikupumzishe na haya masimango.
[emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]Hiki kikao chetu pendwa cha wanaume kinakuja kuvurugwa na wadada wa above 27+ sasa hivi!Mark my words
Unahangaika sana
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Pole Sana[emoji1787][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541][emoji1541]
Na miaka hamsinikwani we una umri gani...tuanzie hapo
Wao wanataka ndoa sana sana siyo kuchezewa sababu umri umeenda...so kama wewe unajijua mpitaji bora kumwambia ukweli ajue moja kuachana nawe au la....ndiyo anachomaanishaSasa shida yao iko wapi??
Umri huo wanajiita wapalestina yaani wa kujitoa mhanga chochote kitakachopita mbele yao twende.Pia kaa mbali na mwanamke ambae aliolewa kisha akaachana na mmewe, tena awe kwenye 30-45.
Usicheze kabisa na hisia zake, akikupenda amekupenda kweli.
Ndoa ni kitu kingine kabisa kwa hii jinsia aiseee.
Hii comment yako ndiyo jibu la huu uzi, both Me na Ke inabidi waelewe huu ukweli....jinsi huu upande wa pili unavyotoa mapovu ni jibu kwamba hakuna anayependa kuambiwa ukweli.Huwa nacheka sana baadhi ya wanaume hapa wakisema "eti usiwachezee hisia zao", jamani wanaume amkeni usingizini usidanganye unachezea hisia zake ukipata chance ya kupiga mwanamke mwenye umri mkubwa aliyevuka miaka 25 kama bado hajachoka choka we chapa tu ila asikugeuze jumba la kustaafia(ndoa) baada ya ku-enjoy ujana wake (18 ~ 22). Binafsi naamini ni busara zaidi ukaoa mwanamke uliye-enjoy peak yake ya uzuri (18 ~22).
Ukweli ni hivi, Yeye ndiye anayekuchezea wewe kihisia. Maana baada ya watu kujipigia sana huko wewe ndio anakuona unafaa sasa kuishi nae muda ambao ameaza kuchoka alikuwa wapi kipindi bado mbichi (18~22)? Hapa alikuwa na watu aliowapenda zaidi, ila baada ya kumuona ameanza kuzeeka wakaingia mitini ili wewe unayeogopa "kumchezea" umuoe.
Ukweli utabaki kuwa ukweli asilimia zaidi ya 99, wanawake wazuri wanakuwa tayari wapo ktk serious relations au wameolewa pindi wafikapo miaka 25. Nje ya hapo kuna sababu kwa nini huyo mwanamke hajaolewa au hana mtu serious akivuka miaka 25 wengi wao ni hovyo sana either ana-standard za kijinga zisizo halisi.
Asikudanganye mtu, hakuna mwanamke asiyependa kuolewa sio dunia ya kwanza (kama U.S, Europe or Austrilia) wala ya tatu (kama TZ) unless awe amelelewa na single mother (not widow, big diference) au umri wake umevuka miaka zaidi ya 25 na hana mtu serious.
Hilo la ww kuwa mjinga upo sahihiSijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.
Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.
Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
Yaani hii mada nyepesi sijui kwanini wenzangu hawajaielewa!? Wanatoa tu povu.The way unacomment inadhihirisha wazi kuwa haujaelewa ajenda ya mleta mada na wewe unajadili jambo jingine.
Mleta mada anawaambia wanaume kuwa wasicheze na akili za wadada waliofika umri wa kuanzia 27 kuendelea kwa maana hawa akina dada wapo katika kipindi kigumu sana cha maisha ya mausiano na wanahitaji support na si kuchezewa. So kama mtu anajua hayupo serious nao basi awaache asiwachezee waolewe na watu wanye nia.
Wewe umekuja na hoja tofauti ya kuzungumzia swala la wanawake na utafutaji wa pesa na mali katika kuanza maisha ya mahusiano.
Hivi unaona hizo hoja mbili zinaingiliana....?!
Hebu usiwe unatumia mihemko, tumia akili na ufocus.... Kubishana hakukufanyi kuwa mwerevu bali unabakia na upumbavu kwenye maisha yako.
Usijifariji mkifika 35 nguvu za kiume zinaisha vijana tu wa 30 majogoo yao hayapandi mitungi sembuse huo umri mnatumia viagraNani alikwambia wanaume huwa tunastaafu kwenye game?
Mwanamke anatakiwa kukimbizana na muda maana reproductive age yake ni limited. Ndio maana ana mature fasta kuliko mwanaume, mwanamke akifikisha 45 game imeisha hiyo.
Lakini wanaume tukifikisha hata 35 ndo panakucha hata 40 bado tupo asubuhi....hivi umesahau ule msemo wa kiume kwamba life starts at 40?View attachment 1577075