Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Halafu wanaoleta hizi mada mara nyingi unakuta hata hawaeleweki.
Siyo mfukoni, kazi unakuta hana,ukikaona hata hakaeleweki.
Sasa kama hajaolewa wewe kinakushughulisha nini... Si utafute wa 19 uoe... Kuna mtu kakukataza..
Acheni kushambulia ..wanawake... Hivi nyie wenyewe mmeoa.. au ndo mwanamke anajioa mwenyewe
Ukiwa mkweli sharti usiogope mapovu. Mwanamke anakuwa kwenye kilele cha uzuri wake akiwa kwenye umri kati ya 18+30.
Kama unataka mwanamke wa kuoa ambaye atakuheshimu na kukufurahisha otea kwenye 18-25.
Mungu mwenyewe alimteua mwanamke amzaye Yesu pindi Bikira Maria alipokuwa kwenye 17-19, akiwa bado mbichi kabisa....sasa wewe unaenda kuokota wastaafu wa 30-40 umekuwa nyumba ya kutunza wazee?
Mambo yawatu...mnapenda kushadadia.. hamna yanayowahusu kabisa.Naona umeniquote [emoji28][emoji1]
Hivi Mbona Mnamaneno Machafu Sana Ninyi !?
Binafsi mada Nimeielewa Na Nimepata Somo, Wala hakuna aliewatukana Wanawake wenye Umri Mkubwa Ambao hawajaolewa I didn't do that
Acheni kubishana na UHALISIA wapo Wanawake wenye huo Umri Ambao wako DESPERATE (Kukata Tamaa) Na Ndoa Au Niseme Ndoa INAWAPASUA VICHWA, Kama Wewe Una Umri huo Na hauko Hivyo basi Ni Wewe na Maisha Yako ila MAJORITY Ni Wahanga wa hilo Sisi Wote Mashahidi Sina haja ya kuweka Mifano
Hivyo Basi Wanawake wa Namna hiyo
Hatutakiwi kuwahadaa kwa Namna yoyote ile Ni heri Umuache kuliko kumfanyia hivyo Maana Wewe huna hasara ila kwake it Might be Fortune
Umeniuliza Kinanishughulisha Nini kama Hajaolewa ?? Kinanishughulisha Sababu Mimi ni Sehemu ya JAMII yake Anaweza kuwa jirani Yangu, Msambaa Mwenzangu, Mtanzania Mwenzangu Au hata Ndugu yangu
Sawa baba mpiga ramli[emoji1787][emoji1787]
Endelea kupiga ramli zako.
Kama wewe ni mzinzi usidhani kila mtu ni mzinzi
Ungesema "Wavulana tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+"
Sasa wanaume tusi-date na wadada wa 27+ kumbe ulitarajia tu-date na wenye umri upi?
Lazima uzi wa namna hii ujae hisia kali, nyuzi za hivi zinateka hisia za wengi.
Binafsi umri wa chini ya 28 sitaki hata kusikia(in terms of relationship), kwangu 28+ ndio umri sahihi wa kutongoza na kudate. Yaani mdada 30 hivi au 32 hivi hadi 45 kwangu ni sukari kabisa.
Ilà, to each his own!!!
Basi wacha nije, lakini lazima nije na change yangu mfukoni for emmergence manake sifa yenu nyingine ni kususa!! Shaka yangu isije nikasusiwa bill ya kinywaji kisa tu sijakusifia!!Kweli jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Njoo uchukue ofa wewe acha uoga [emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe ni Last Born?! Manake ni kama ile birds of a feather flock together!Comments zako zimenifanya niendelee kuwepo humu
Last born?? Hii imetokea wap tena?Na wewe ni Last Born?! Manake ni kama ile birds of a feather flock together!
Kwamba kumpata msichana wa kuoa akiwa kwenye 18-25 ni impossible?Hizi mambo mnazoweka huku kwenye really life kuzipata ni almost impossible Mkuu
[emoji134]Ina maana siaminiki kiasi hiki?![emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]Basi wacha nije, lakini lazima nije na change yangu mfukoni for emmergence manake sifa yenu nyingine ni kususa!! Shaka yangu isije nikasusiwa bill ya kinywaji kisa tu sijakusifia!!
Last born mwenzako kesho anasafiri, sasa kwavile madingi wanaishi mbali na main road wakati anatakiwa kuondoka alfajiri; basi kanipigia kwamba anakuja kulala home!!![emoji134]Ina maana siaminiki kiasi hiki?![emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787]
Yaani 1st born unaniwazia hayo kweli!?![emoji23]Mimi si wa kukufanyia hayo
Usiponisifia nitanuna tu ila sitasusa bill Jamani [emoji1787][emoji23][emoji1787]
@Saint Anne ni Last Born basi anadeka huyo balaa... sa' nikadhani na wewe ni LB kama yeye!!Last born?? Hii imetokea wap tena?
Oky, hapana mimi sio last born@Saint Anne ni Last Born basi anadeka huyo balaa... sa' nikadhani na wewe ni LB kama yeye!!
Kwamba kumpata msichana wa kuoa akiwa kwenye 18-25 ni impossible?
Dunia ni uwanja wa demokrasia, you choose your own reality.Si kwamba haiwezekani
Ila Dunia haipo perfect hivyo kama mnavyoiweka kwenye maandishi na watu mitaani wanaoa na wengi tu hawafati hivyo vigezo ulivyo weka