Naona umeniquote [emoji28][emoji1]
Hivi Mbona Mnamaneno Machafu Sana Ninyi !?
Binafsi mada Nimeielewa Na Nimepata Somo, Wala hakuna aliewatukana Wanawake wenye Umri Mkubwa Ambao hawajaolewa I didn't do that
Acheni kubishana na UHALISIA wapo Wanawake wenye huo Umri Ambao wako DESPERATE (Kukata Tamaa) Na Ndoa Au Niseme Ndoa INAWAPASUA VICHWA, Kama Wewe Una Umri huo Na hauko Hivyo basi Ni Wewe na Maisha Yako ila MAJORITY Ni Wahanga wa hilo Sisi Wote Mashahidi Sina haja ya kuweka Mifano
Hivyo Basi Wanawake wa Namna hiyo
Hatutakiwi kuwahadaa kwa Namna yoyote ile Ni heri Umuache kuliko kumfanyia hivyo Maana Wewe huna hasara ila kwake it Might be Fortune
Umeniuliza Kinanishughulisha Nini kama Hajaolewa ?? Kinanishughulisha Sababu Mimi ni Sehemu ya JAMII yake Anaweza kuwa jirani Yangu, Msambaa Mwenzangu, Mtanzania Mwenzangu Au hata Ndugu yangu