Emily VanCamp
Senior Member
- Aug 24, 2020
- 189
- 960
Nacheza kwa step mzee, hiyo miaka 30 haiwezi nipata.Subiri mvua ikukute na ukigusa tu unanasa.
Povu litakusaidia kufulia ukiwa ndani [emoji1787]
30 imefanyaje!?acha ujinga
Kweli kabisa.Kama ana mtoto basi hayupo kwenye mada. Maana mtoto anaye na anajiweza huyo ni wakishua tayari.
Life support ya mtoto na yeye anaimudu.
Me naongelea bongo zaidi kwa nchi za wenzetu sina tatizo nao kabisa ndo mifumo yao
Na utakapoenda huko unaswe na upigwe mvua ya miaka 30 ukaolewe lupango.
Nyie ndio mnaotuharibia watoto wetu.
Sasa subiri utaona inavyokupata muharibifu wewe.Nacheza kwa step mzee, hiyo miaka 30 haiwezi nipata.
Tatizo nyie mnaringa sanaa
Nimezungumzia kuhusu wadada wanaofanya kazi bank. Bank zipo vitengo vingi kuna customer service office, kuna hao matter, loan officer, bank office mannager, operation manager na bank manager. Daby alizungumzia kuhusu hao ma teller 3 nilio waona lakini me sioni kama matter ndo wemye mishahara midogo. Hata customer service officer wana misharaha midogo.Yaani comments zako mwenyewe ulizokuwa unajadiliana na Daby umeshazisahau mara hii na wakati umeziandika mwenyewe muda mfupi tu uliopita!
Uliyeandika mabank teller si ni wewe mwenyewe!
Kweli wewe hamnazo
Nenda kwa watoto hao wa shule na uone kitakachokupata.Watoto wameharibiwa na wazazi wao mnataka kutusingizia tuu sie wagegedaji huku mtaani.
Mdomoni [emoji15]Hakuna cha miaka sikuizi form 3 tu mtoto hana bikra ata ya mdomoni
Wala sina shida na umri nikipanga kuchumbia nitakutafuta😎😎Sasa subiri utaona inavyokupata muharibifu wewe.
Hatutaki watu wajinga.
Kwanza endelea tu na ramli zako za kufanya makadirio ya umri wangu
Heshima ya ndoa ni huku kwetu kwa wapare, wachaga, wasukuma n.k utapata usumbufu kutoka kwa bibi uchagani, au babu usukumani kuwa unaolewa lini.... Kama huna hao watu huwezi pata usumbufu unless una marafiki wa aina ya babu, bibi na shangazi zako.Watu akili ndogo ndo huhangaika na ndoa aisee siku ukikaa na jamii nyingine Hilo jambo Wala halina mashiko Sasa mleta nada angekutana na watu wa hvo sijui angefanyaje huku watu wamecremisha ndoa na kuzaa Kuna jamii Hilo swala halipo kabisa
Nenda kwa watoto hao wa shule na uone kitakachokupata.
Na kuanzia sasa utakapowagusa tu unanaswa ili na wewe ukaguswe ukienda ndani waharibifu nyie.
Heshima ya mwanamke ni ndoa na itabaki hivo siku zote.Kweli kabisa.
Ila mm sioni ni kwann mwanamke apate stress sababu kakosa mume na umri unaenda. Ni lazima wanawake wajifunze kuwa si lazima kuolewa maana wanaume wengi siku hizi wamebaki na mashine tu. Na heshima ya ndoa ni jamii ndo inaikuza kwa kuwa tumeukuta huo utamaduni.
Umeona Sasa usivyo na akili.Nimezungumzia kuhusu wadada wanaofanya kazi bank. Bank zipo vitengo vingi kuna customer service office, kuna hao matter, loan officer, bank office mannager, operation manager na bank manager. Daby alizungumzia kuhusu hao ma teller 3 nilio waona lakini me sioni kama matter ndo wemye mishahara midogo. Hata customer service officer wana misharaha midogo.
Hivi huja wahi kutana na watoto wa kishua wale ambao wapo kule kitengo cha treasure. Mishahara yao ni minono alafu wengi wapo HQ. Wengi wao ni watoto wa kishua wazazi wao wapo huko juu kwenye madirectors.
Kinywaji toka kwa Last Born?! Hapana aisee manake isije hapo baadae kitu kidogo tu "we si nilikupa soda yangu wewe!" Aaaaargh![emoji7][emoji122]
First born agiza kinywaji nakuja kulipa
Safi sanaSie watoto wa shule tutagegeda tuu hilo halina jinsi...
Nina ndoa tayariWala sina shida na umri nikipanga kuchumbia nitakutafuta[emoji41][emoji41]
Nani kaniwahi saintNina ndoa tayari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani first bornKinywaji toka kwa Last Born?! Hapana aisee manake isije hapo baadae kitu kidogo tu "we si nilikupa soda yangu wewe!" Aaaaargh!
Safi sana
Endelea kuongeza juhudi ila siku nikikunasa na mwanangu jua unaozea ndani
Pole sanaNani kaniwahi saint