Nimezungumzia kuhusu wadada wanaofanya kazi bank. Bank zipo vitengo vingi kuna customer service office, kuna hao matter, loan officer, bank office mannager, operation manager na bank manager.
Daby alizungumzia kuhusu hao ma teller 3 nilio waona lakini me sioni kama matter ndo wemye mishahara midogo. Hata customer service officer wana misharaha midogo.
Hivi huja wahi kutana na watoto wa kishua wale ambao wapo kule kitengo cha treasure. Mishahara yao ni minono alafu wengi wapo HQ. Wengi wao ni watoto wa kishua wazazi wao wapo huko juu kwenye madirectors.