manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,733
Juzi kati nikiwa na wife wangu katika mizunguko ya hapa na pale town ghafla akapita dada mmoja amevalia skirt nyeusi fupi mno na high heels bila shaka dada yule atakuwa mtu wa kusin kwani alikuwa na umbo la kibantu haswa na mrefu wa haja.
Nilikuwa kwenye speed ndogo ghafla nikajikuta nasema Dah shiiit, huku nikimtolea macho yule dada ni kama vile nilikuwa sikumbuki nipo wife pembeni taratibu wife akaniuliza Baba nini shida? Ikabidi nibadili topic.''Nikamwambia pumbaf kabisa hivi umeona huyu dada kitu alichavaa? Kwanini wanawake mnashindwa kujiheshimu lakini, uvaaji gani huu na siku mke wangu uvae hivyo walahi nakupa talaka siku hiyohiyo"
Wife kiupole akadhani kweli nimekasirishwa na uvaaje wa yule dada kumbe nilistaajabu umbo na uzuri aliokuwa nao yule dada, akaniambia lakini wanaume wengine ndio wanawapendaga wanaovaa hivyo. Nikaongeza kwa sauti ya ukali "hakuna kitu wife uvaaji gani huu wa kijinga kabisa bwana.
Story zikabadilika toka hapo tukaendelea na mambo yetu moyoni nasema leo ningeshtukiwa sijui ingekuaje? Dada zangu chonde chonde na vivazi vyenu jamani.
Ila mimi nilishangaa uumbaji uliotukuka tu.