NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,391
Bila picha udaku haunogi na ukizingatia sikuizi cm zina camera kwahiyo picha muhimu...Na nyie wa picha mmezidi sasa, kila kitu picha? ??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila picha udaku haunogi na ukizingatia sikuizi cm zina camera kwahiyo picha muhimu...Na nyie wa picha mmezidi sasa, kila kitu picha? ??
We jamaa nahisi utakuwa ni Mhaya au Mjita...
Nilipoanza kusoma nikadhani "hilo gari lako linalotumia petrol" linahusiana na stori inavyoendelea kumbe umeandika kama mbwembwe...
Umenifanya nimkumbuke kibopa mmoja wa Kihaya aliyekuw anamuuliza mlinzi, "kwa magari yenye full tank tunapark wapi?"...
Mkuu hukuchukua namba ya huyo traffic unirushie?
kaka kuna siku na mie kidogo inikute, kwani tulikuwa tunatoka kwenye mihangaiko mie na my wife wangu, wakati naendesha gari nikamuona binti kaumbika nilimpiga jicho mara 1 nikabaki namtathmini, kumbe wife ananitizama usoni na mie nikawa nishamstukia nikajifanya kama sijaona, basi ilimtoka mwenyewe du mume wangu umeona yule dada alivyoumbika nikajifanya kuuliza yuko wapi kumbe hajui mie nishamuona muda mrefu, kwani kuna siku tukiwa jangwani sea breeze nilishawahi pigwa kofi mpaka nikaona nyote kisa macho kung'ang'ania kwa binti 1 mrembo aliyekuwa anatoka kupata shower rain

Ha ha ha bonge la kofi mpaka ukaona nyota kweli shemeji ni noma.
ha haha ukome kupapasa macho
kaka kuna siku na mie kidogo inikute, kwani tulikuwa tunatoka kwenye mihangaiko mie na my wife wangu, wakati naendesha gari nikamuona binti kaumbika nilimpiga jicho mara 1 nikabaki namtathmini, kumbe wife ananitizama usoni na mie nikawa nishamstukia nikajifanya kama sijaona, basi ilimtoka mwenyewe du mume wangu umeona yule dada alivyoumbika nikajifanya kuuliza yuko wapi kumbe hajui mie nishamuona muda mrefu, kwani kuna siku tukiwa jangwani sea breeze nilishawahi pigwa kofi mpaka nikaona nyote kisa macho kung'ang'ania kwa binti 1 mrembo aliyekuwa anatoka kupata shower rain
aisee basi unaangalia unaachaHa haha tatizo hayana pazia!
aisee basi unaangalia unaacha
mimi mwenyewe naangaliaga yani kama nipo kwenye dala dala upande wa dirisha nalifungua vizuri naangaliaKabisa ni kuangalia na kuacha na maisha yanaendelea!
Picha please.........
ningejibu mapigo lakini nikaona nitakusanya watu bure, nikawa mpole nikakubali yaishe,
Siku hizi hizo shida hakuna baada ya mambo ya smartphone, wife pembeni anahangaika na whatsapp au insta we unapiga zako chabo wala hata hatajua nani kapita nani umemwangalia.
Zamani kuangalia mpaka upitie kwenye site mirror, maana kifaa kikionekan wife anakuangalia machoni kuona kama utaangalia.