Wanaume tuwe makini tuwapo na wake zetu kwenye mizunguko

Haahaaaa mkuu umenichekesha sana

Ila ufahamu kuwa wanawake wana akili sana, wanakumbukumbu sana na wanajua kuunganisha matukio

Siku moja ukibugi tu anaunganisha dots na kupata mchoro kamili

Take note of this au ujitahidi nawe uwe na kumbukumbu za kutosha na uendelee ku-pretend the same way through out kwa watu waliovaa nguo fupi na kuumbika sana

You can say that again.....
 
Siku hizi hizo shida hakuna baada ya mambo ya smartphone, wife pembeni anahangaika na whatsapp au insta we unapiga zako chabo wala hata hatajua nani kapita nani umemwangalia.

Zamani kuangalia mpaka upitie kwenye site mirror, maana kifaa kikionekan wife anakuangalia machoni kuona kama utaangalia.
Mi naangaliaga kupitia side mirrors. Ukijaribu vunja shingo waweza sikia kofi la shavu.
 
Ha ha haaaa!! umenikumbusha tulikuwa tunaenda moshi mjini na brother wangu sasa tulikuwa tuko watatu, mimi ,brother pamoja na mke wake, ila mke wake alikuwa amekaa siti ya nyuma alafu amenyamazaaaa kimya muda mrefu sisi ndio tunapiga story!

tukasimamishwa na trafiki wa kike pale KIA kwakweli alikuwa mzuri yule dada masikini nadhani ndio alikuwa anaanza kazi maana hata kuuliza maswali alikuwa anaogopa! alipoturuhusu tuondoke tukaanza kumsifia yule dada,

ghafla broo akasema 'NAKWAMBIA MOSHI KUNA WATOTO ASIKWAMBIE MTU" ghafla tukashtulia na sauti ya shemeji ikisema "NDIO MAANA MLIKUWA MNANILAZIMISHA MNISHUSHE KWETU NISALIMIE NA NYIE MUENDE KWENYE MIHANGAIKO,

KUMBE NDIO MIPANGO YENU KUJA HUKU MOSHI LEO KWA WATOTO" kimya kikatawala kidogo ila brother alirudi na topic mpya tena kwa ukali, "sasa unachokasirika ni nini!!? si nikweli kila kona MOSHI utaona watoto wanaenda shule!!? kila kona hebu ona wale kule eenhh ona wee ona tu mwenyewe kila mahali ni watoto wako busy na kwenda shule"
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Juzi kati nikiwa na wife wangu katika mizunguko ya hapa na pale town ghafla akapita dada mmoja amevalia skirt nyeusi fupi mno na high heels bila shaka dada yule atakuwa mtu wa kusin kwani alikuwa na umbo la kibantu haswa na mrefu wa haja.

Nilikuwa kwenye speed ndogo ghafla nikajikuta nasema Dah shiiit, huku nikimtolea macho yule dada ni kama vile nilikuwa sikumbuki nipo wife pembeni taratibu wife akaniuliza Baba nini shida? Ikabidi nibadili topic.''Nikamwambia pumbaf kabisa hivi umeona huyu dada kitu alichavaa? Kwanini wanawake mnashindwa kujiheshimu lakini, uvaaji gani huu na siku mke wangu uvae hivyo walahi nakupa talaka siku hiyohiyo"

Wife kiupole akadhani kweli nimekasirishwa na uvaaje wa yule dada kumbe nilistaajabu umbo na uzuri aliokuwa nao yule dada, akaniambia lakini wanaume wengine ndio wanawapendaga wanaovaa hivyo. Nikaongeza kwa sauti ya ukali "hakuna kitu wife uvaaji gani huu wa kijinga kabisa bwana.

Story zikabadilika toka hapo tukaendelea na mambo yetu moyoni nasema leo ningeshtukiwa sijui ingekuaje? Dada zangu chonde chonde na vivazi vyenu jamani.

Ila mimi nilishangaa uumbaji uliotukuka tu.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hahahaha hommie, nlishajisahau nikampigia demu honi ili kuusifia utukufu na uumbaji wa Mungu... Nlistukia napigwa bao la kisogoni. Tangu siku hiyo bajaji yangu nimeitoa honi kabisa.
Hahahahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hv na wake zenu wakianza kushangaa wanaume njian mkiwa wote nanyi mtajickiaje!! Siyo kuwa hawapend kushangaa wanaume magentlemen njian ila tu wanalinda heshima ya mume wake. Bas na wanaume pia walinde heshma za wake zao pind wanapokuwa wote njian. Shangaa hvyo vituko ukiwa peke yako..
Hahahahaha humesikika
 
Ha ha haaaa!! umenikumbusha tulikuwa tunaenda moshi mjini na brother wangu sasa tulikuwa tuko watatu, mimi ,brother pamoja na mke wake, ila mke wake alikuwa amekaa siti ya nyuma alafu amenyamazaaaa kimya muda mrefu sisi ndio tunapiga story!

tukasimamishwa na trafiki wa kike pale KIA kwakweli alikuwa mzuri yule dada masikini nadhani ndio alikuwa anaanza kazi maana hata kuuliza maswali alikuwa anaogopa! alipoturuhusu tuondoke tukaanza kumsifia yule dada,

ghafla broo akasema 'NAKWAMBIA MOSHI KUNA WATOTO ASIKWAMBIE MTU" ghafla tukashtulia na sauti ya shemeji ikisema "NDIO MAANA MLIKUWA MNANILAZIMISHA MNISHUSHE KWETU NISALIMIE NA NYIE MUENDE KWENYE MIHANGAIKO,

KUMBE NDIO MIPANGO YENU KUJA HUKU MOSHI LEO KWA WATOTO" kimya kikatawala kidogo ila brother alirudi na topic mpya tena kwa ukali, "sasa unachokasirika ni nini!!? si nikweli kila kona MOSHI utaona watoto wanaenda shule!!? kila kona hebu ona wale kule eenhh ona wee ona tu mwenyewe kila mahali ni watoto wako busy na kwenda shule"
Haaaaaahaaaaaa haaa umenivunja mbavu
 
Unacheka!! kama sio broo kubadili mwelekeo wa mazungumzo navyomjua shemeji yangu ni nooma mbaya angelianzisha tungemuacha kwenye gari mwenyewe!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha hommie, nlishajisahau nikampigia demu honi ili kuusifia utukufu na uumbaji wa Mungu... Nlistukia napigwa bao la kisogoni. Tangu siku hiyo bajaji yangu nimeitoa honi kabisa.
Haaaaah haaaah haki uku jf kuna vitukoo ungevunjwa kisogo
 
Kusafisha macho ruksa kwa ss me kwani zinajenga ufanisi kichwani na masuuziko ya dunia hii isiyo timilifu...
 
macho hayana pazia jamani.

wake zetu tuacheni tu tule kwa macho wanawake wenzenu ndio chanzo.

mapigo ya sikuhizi si mchezo.
 
Ha ha haaaa!! umenikumbusha tulikuwa tunaenda moshi mjini na brother wangu sasa tulikuwa tuko watatu, mimi ,brother pamoja na mke wake, ila mke wake alikuwa amekaa siti ya nyuma alafu amenyamazaaaa kimya muda mrefu sisi ndio tunapiga story!

tukasimamishwa na trafiki wa kike pale KIA kwakweli alikuwa mzuri yule dada masikini nadhani ndio alikuwa anaanza kazi maana hata kuuliza maswali alikuwa anaogopa! alipoturuhusu tuondoke tukaanza kumsifia yule dada,

ghafla broo akasema 'NAKWAMBIA MOSHI KUNA WATOTO ASIKWAMBIE MTU" ghafla tukashtulia na sauti ya shemeji ikisema "NDIO MAANA MLIKUWA MNANILAZIMISHA MNISHUSHE KWETU NISALIMIE NA NYIE MUENDE KWENYE MIHANGAIKO,

KUMBE NDIO MIPANGO YENU KUJA HUKU MOSHI LEO KWA WATOTO" kimya kikatawala kidogo ila brother alirudi na topic mpya tena kwa ukali, "sasa unachokasirika ni nini!!? si nikweli kila kona MOSHI utaona watoto wanaenda shule!!? kila kona hebu ona wale kule eenhh ona wee ona tu mwenyewe kila mahali ni watoto wako busy na kwenda shule"

Asante Mungu kwa kuniumba mwanaume.
 
I
 
Juzi kati nikiwa na wife wangu katika mizunguko ya hapa na pale town ghafla akapita dada mmoja amevalia skirt nyeusi fupi mno na high heels bila shaka dada yule atakuwa mtu wa kusin kwani alikuwa na umbo la kibantu haswa na mrefu wa haja.

Nilikuwa kwenye speed ndogo ghafla nikajikuta nasema Dah shiiit, huku nikimtolea macho yule dada ni kama vile nilikuwa sikumbuki nipo wife pembeni taratibu wife akaniuliza Baba nini shida? Ikabidi nibadili topic.''Nikamwambia pumbaf kabisa hivi umeona huyu dada kitu alichavaa? Kwanini wanawake mnashindwa kujiheshimu lakini, uvaaji gani huu na siku mke wangu uvae hivyo walahi nakupa talaka siku hiyohiyo"

Wife kiupole akadhani kweli nimekasirishwa na uvaaje wa yule dada kumbe nilistaajabu umbo na uzuri aliokuwa nao yule dada, akaniambia lakini wanaume wengine ndio wanawapendaga wanaovaa hivyo. Nikaongeza kwa sauti ya ukali "hakuna kitu wife uvaaji gani huu wa kijinga kabisa bwana.

Story zikabadilika toka hapo tukaendelea na mambo yetu moyoni nasema leo ningeshtukiwa sijui ingekuaje? Dada zangu chonde chonde na vivazi vyenu jamani.

Ila mimi nilishangaa uumbaji uliotukuka tu.
Ahahaha
 
Back
Top Bottom