Wanaume tuwe makini tuwapo na wake zetu kwenye mizunguko

Lakini bora muishie kula kwa macho hivohivo, kuliko kuvila kiukweli
 


Stori ile ilikuwa ni kwa ajili ya kufurahisha baraza tu...hivyo ilikuwa ni muhimu ni iumbe kimzaha mzaha..mie sio mjita wala mhaya bana...ni Mtanzania halisi lakini.
 
Fahari ya macho haifilisi duka, ungemwambia tu my wife wako jinsi ulivyo data na umbo la kibantu!!
 

Ha ha haaa! pole mkuu
 

Ha ha ha bonge la kofi mpaka ukaona nyota kweli shemeji ni noma.
 

Hawa jamaa kwa sifa ni kiboko.
Anataka kuwe na sehemu maalum ya kupaki magari ambayo tank la mafuta lipo full.
 

Dah pole,wife wangu akiona mdada kapendeza huwa ananishtua baba nanii angalia kitu hicho kilivyopendeza,bac huwa nampotezea kimtindo but sijajua ana maana gani.
 
Nyie vijana mna matatizo sana. Mnawafanya wanawake ni mbumbumbu wasio na uwezo wa kujua kuwa mnawadanganya. Kwa taarifa yenu hawa jinsia pinzani wako "advanced" kuliko sisi kwenye mambo ya mahusiano ya jamii. Ukiona kanyamaza siyo kwamba kakubaliana na maelezo yako ya uongo bali amekubali yaishe.
 

hahahaaaaaaaaa,,,, haws wake zetu wamezaliwa na mama mmoja,,,, wewe ukiwa umekodoa macho kuangalia uumbaji uliotukuka,,, na yy kakutumbulia macho mbaya sana......hahahahaaa,,, na mikono ya ilivyo miepesi kufyatuka ni balaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…