Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

Mnajatibu kuwatoa watu kwenye reli ili wasijadili matukio muhimu ya nchi?
Sehemu za siri unaibsje? Si wangewatumia malaya wanaojiuza?
 
jamaa anasema "unakuta nyeti amna kanyeti kalikobaki kadogo sana" huu ulaghai
Ndugu, mimi nipo bonde la ziwa Rukwa eneo la Kilyamatundu maarufu Kamsamba, haya mambo tulikua tunayasikia Tunduma kama siku 4 nyuma. Lakini jana tarehe 4 April limetokea eneo hili. Muhusika(mwizi wa nyeti) alipigwa mpaka kuchomwa moto. Usibishe bila uhakika. Uliza wenyeji.
 
picha ya aliyeibiwa nyeti mkuu
 
Bado haiingii akilini. Yaani uibiwe nyeti kwa kushikwa bega. Nitakuwa wa mwisho kuamini huu uzushi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…