Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

Wanaume! Ukiona unazaa watoto wasiofanana na wewe ujue mkeo ni kicheche ama alikuwa kicheche.

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao.

Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu.

Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
 
Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana
 
Kuna mtu alikimbia umande..au wa mjini alikimbilia kuvuta bhange
 
Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana
Mhusika mimi naona wanachangamsha genge. Hawa ndio nje midomo mizito
 
Back
Top Bottom