G G4N JF-Expert Member Joined Apr 6, 2014 Posts 4,283 Reaction score 9,925 Oct 23, 2024 #1 Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
Wanawake waliojitunza vyema huzaa watoto waliofanana na baba zao. Kinyume na hapo mwanaume mwenzangu ujue umeoa kicheche mstaafu. Huu ndiyo ukweli mchungu kwa wanaume walio wengi.
MWANAHARAMU JF-Expert Member Joined Dec 12, 2021 Posts 4,041 Reaction score 10,699 Oct 23, 2024 #2 Vipi ulimtoa bikira na mimba juu. Halafu mtoto akazaliwa halafu hamfanani Wala kuendana kabisa
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Oct 23, 2024 #3 Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana
Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana
KAGAMEE JF-Expert Member Joined Dec 20, 2013 Posts 4,457 Reaction score 5,454 Oct 23, 2024 #4 Fake research
the palace JF-Expert Member Joined Jan 11, 2018 Posts 340 Reaction score 1,025 Oct 23, 2024 #5 Bumunda
Chujio JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 1,368 Reaction score 2,108 Oct 23, 2024 #6 Kuna mtu alikimbia umande..au wa mjini alikimbilia kuvuta bhange
Chujio JF-Expert Member Joined Jun 17, 2013 Posts 1,368 Reaction score 2,108 Oct 23, 2024 #7 Mbaga Jr said: Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana Click to expand... Mhusika mimi naona wanachangamsha genge. Hawa ndio nje midomo mizito
Mbaga Jr said: Ila mada za JF kama hizi na nyinginezo sijui wahusika wanazichukuliaje, Mfano ile mada ya kama mkeo hukumkuta bikra bc n malaya hua nacheka sana Click to expand... Mhusika mimi naona wanachangamsha genge. Hawa ndio nje midomo mizito
BoyOfGod JF-Expert Member Joined Jan 3, 2019 Posts 1,055 Reaction score 1,572 Oct 23, 2024 #8 Au unakuta mtoto anatabia ambazo ukiangalia mama yake hana na wewe huna😃
Nyoka kibisa JF-Expert Member Joined Nov 30, 2014 Posts 568 Reaction score 1,507 Oct 23, 2024 #9 Uongo