CONTRARIAN
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 982
- 3,137
Buku 1 kwa mwezi,
Unaweza uone utani kumbe serious
Naenda na Mashine yangu Ndevu na Kichwa,
Kuna Babershop ya Buku 5 hapo hapo ila ni huduma nzuri na midada ila Ufundi kichwani Zero,
Na mimi kwenye kunyoa kikubwa Ndevu,
Ucheze nazo vizuri, Nisitoke vipere(hii sijui imekaaje kuna sehemu nyingine vipele nyingine hutoki)
Lakini pia niwashauri wale wenye ndevu,
Msijikwakungue sana wazee,
Unakutana na mtu anakwangua kidevu kila asubuhi, Kidevu kinakua kama ukoko wa pilau.