Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

Acha kujiremba dunia imeharibika hii hadi papa karuhusu watoto mchelemchele muolewe
Ni sawa unachosema mkuu ndo maana nakushauri kwa kuwa najua ukipoteza ubingwa wako kwa sababu ya shobo utajilaumu sana.

Ubingwa haurudi ohooo
 
Buku 1 kwa mwezi,
Unaweza uone utani kumbe serious
Naenda na Mashine yangu Ndevu na Kichwa,
Kuna Babershop ya Buku 5 hapo hapo ila ni huduma nzuri na midada ila Ufundi kichwani Zero,

Na mimi kwenye kunyoa kikubwa Ndevu,
Ucheze nazo vizuri, Nisitoke vipere(hii sijui imekaaje kuna sehemu nyingine vipele nyingine hutoki)

Lakini pia niwashauri wale wenye ndevu,
Msijikwakungue sana wazee,
Unakutana na mtu anakwangua kidevu kila asubuhi, Kidevu kinakua kama ukoko wa pilau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kama ukoko wa pilau

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Kwakweli mm ndo nafirisikaga kunyoa kama nywele ziponbad week days ni 5000 ila weekend ni 15k plus scrubs 5000 na massage kama 50k ila massage napenda wathailand wa masaki wapo very proffesional
 
Back
Top Bottom