Wanaume, unatumia gharama gani ku-shave kwa mwezi?

Buku 1 kwa mwezi,
Unaweza uone utani kumbe serious
Naenda na Mashine yangu Ndevu na Kichwa,
Kuna Babershop ya Buku 5 hapo hapo ila ni huduma nzuri na midada ila Ufundi kichwani Zero,

Na mimi kwenye kunyoa kikubwa Ndevu,
Ucheze nazo vizuri, Nisitoke vipere(hii sijui imekaaje kuna sehemu nyingine vipele nyingine hutoki)

Lakini pia niwashauri wale wenye ndevu,
Msijikwakungue sana wazee,
Unakutana na mtu anakwangua kidevu kila asubuhi, Kidevu kinakua kama ukoko wa pilau.
 
Hiyo buku jelo mimi naona kama hasara ilibidi iwe 10K tu.

Ndevu za wiki mbili haziwezi kutisha kiasi hiko,kingine kukwangua kwangua sana kidevu kunaikomaza ngozi baadae utapata kitu kama mabaka mabaka shave ndevu na kichwa kwa wakati mmoja kausha mpaka awamu inayokuja unyoe tena vyote.
 
Bei Elekezi Na Bei Kikomo Kwa Mwezi Mmoja Gharama Itanakiwa Kuwa
Tshs 1000/= Mtawalia Zaidi Ya Hapo Ujue Unaelekea Sipo
 
Mi huwa najinyoa mwenyewe nyumbani
 
Yani mwanaume kila week upo saloon...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
dogo sisi wenye ndevu nyingi ukinyoa leo kesho zimeanza kuota.Ikifika week ni nyingi hasa usishangae mtu kila week yuko saloon.

Back to topic mimi natumia elfu 4 kwa wakati mmja nikinyoa hivo naspend 16k kwa mwezi. Mashine ninayo ila siwezi kujinyoa kichwani.
 
Yani we uwe popo bawa? Popo bawa gani ananyoa kwa tsh 12,000/=? Popo bawa ni sisi tunaonyoa kwa buku kwahiyo kuwa makini
Mwanaume hapotezi muda kutafuta magomvi mkuu acha kushoboka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…