Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Kuna mkaka alisema hanigus had ndoa nikasema khe Dunia ndo imegeuka hivi 😀😀😀
 
Habarini,

Wanaume, katika harakati za kutongoza unakutana na mdada, unamtongoza, anaonesha kuwa kakubali, ila mkiwa kwenye story ukigusia swala la mzigo anakwambia sex ni hadi ndoa..au atakuuliza unaonaje swala la no sex till marriage (aki hint kwamba ukitaka u-sex nae ni hadi umuoe).. wadada wengi tu sahivi nikiwatongoza wananipa majibu haya sijui wananionaje..

No sex till marriage, ni idea nzuri kidini lakini wakuu is it worth waiting..

Kwa wadada, ni kila mwanaume anaewatongoza mkamkubali mnamwambiaga hakuna sex hadi ndoa, au kuna baadhi ya wanaume mnawaambiaga hivyo.

Melancholic Lamomy mzabzab Natafuta Ajira Xi Jinping Zemanda Chakorii To yeye Zuleykha Miss Natafuta Madame B Strong and Fearless The redemeer Mwachiluwi Poor Brain DeepPond cocastic Mzee wa kupambania ephen_ GENTAMYCINE
Mi nnavyoogopa kubeba majanga nkaishi nayo milele bora nionje njue kiu itakua inakatwa kwakwel. Dunia imeharibika
 
Kwaiyo nyuchi kubwa sababu ni nini mkuu
Si mnasemaga kutumika sana ndio sababu au Leo Hii mmeifuta
Bwawa ni maumbile ya mtu mtu kama huyo inabid akutane na mguuu wa mtoto huwez kusikia bwawa
 
Back
Top Bottom