Wanaume, ushawahi pewa sharti la "no sex hadi ndoa" na mdada? Uli-deal nalo vipi, na matokeo yalikuaje?

Mhhh unawekwa friend zone,baada ya hapo ni mwendo wa vizinga tu,unakuwa kama mfadhili wake wa vicoba,michezo,mikopo,bundle, simu,mavazi nk.
 
Kiukwel mambobyanatokea ila Kwa Hali ya maisha ya sas n changamoto vijana tunapenda kujuana
 
Mi nilivumilia miaka 4 alafu ule wa 5 nikakakuwa siwesi oa mwanamke ambae sijaona uchi wake.basi akalia tukanunuana kama wiki 1 hivi (wakati huo ndugu zake walishaninua maana nilikua naenda hadi kwao.)basi nikanunuaa na yeyee kanunuaa kama wiki hizi siku akapiga sim mwenyewe anauliza (sikuelewi)mi nikamwambia siwwzi uziwa mbuzi kwenye gunia)basi akasema "umeviliaika yote hiyo alafu hapa mwishoni mdio nanashindwa?"nikamwambia pote la mbali ukipata mtu ulewa nimekuruhisu,basi mda huo huo akapiva simu "uko wapi"nikamwambia niko gheto nafanya usafi na mda si mrefu nitatoka,akasema nakuja,kimoyomoyo nikasema leo ni leo .kweli bana baada ya muda mtoto wa watu huyo akaja na ndizi na pande kuku. Ooo nimekuletea zawadi ikammjibu sitaki zawadi hiyo ,akasema unataka ipi!nikamwambia iyo hapo kati patamu !akasema njoo nionyeshe .sikuchelewesha baada ya dakika 45 tukajikuta !!!°
!!!!!!!
Ngoja nikapupute mchanga kwenye gari kwanza ........
 
Hizo tumekutana nazo sana na tunazipangua, ili mradi amekubali tukae faragha lazima aliwe tu hakuna formula zaidi ya kuendelea kubembeleza na kujibebisha hadi akuonee huruma.
 
Asilimia mia Moja wahuni hawana
njia Tena, wameshindwa, ila yesu anataka uvumilivu sio kunirusha kichura nitakukosa, alie wangu siwezi mkosa ATI haaa
Hii ndo tunasema I belong to you,😭😂

Jumapili tuende kanisani🐒
Au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…