Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Miaka ya nyuma mabinti wengi walikuwa wanamuheshimu Mungu, wanaheshimu Dini na pia walikuwa wanawaheshimu Viongozi wa dini....kwahiyo walikuwa wakisema sifanyi sex mpaka siku ya ndoa ilikuwa NI KWELI na walikuwa wanajitunza kabisa.

Sikuhuzi kwakuwa wengi wanafanya mpaka hao viongozi wa dini wanavunja ndoa zao, basi nao wanahalalisha.


LAKINI BADO, kikristo ukweli unabaki palepale kuwa ni dhambi, tuombe Rehema tu.
Pia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.
 
Sasa akishamjua Mungu na akaokoka utajuaje kuwa hafanyi au anafanya na mwingine huku anakupa ahadi hewa?
Anaweza kuwa sio bikra ni kweli lakini bikra akawa aliipoteza kabla hajamjua Mungu
 
Sio Wote !!!
 
Hivi mwanamke anakupa papuchi au mnatumia? Afya ya akili inaweza kuteteleka kuanzia hapo kwa kuzoesha mambo yasiyo na uhalisia!!!
 
Duh....Dawa ya moto ni moto. Hii inaitwa mwaga ugali nile mboga
 
Mkuu naona unauzoefu wa kutoka kapa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
I was cockblocked at campus for 3 effin` years......ilikua noma mazeeee....ila nilikua na michepuko yangu pembeni
 
Huwa wanaangalia sura kwanza za kuwaambia hivyo!hasa wasukuma ndio wahanga wakubwa[emoji23]
 
Sasa kumpata huyo aliekuwa kwenye hizo 10% ndo balaa lipo hapoo
Ndio lakini 90% pia sio wote....means kuna 10% walioshika dini na kumuheshimu Mungu hivyo hawafanyi hayo.
 
Walioshikamana na Dini angalau, ila wengine ni chenga tu..
Sure mkuu,Miaka mitatu nyuma kuna mdada mmoja nilituma maombi yangu kwake akakubali shida sasa eti halambwi mpk ndoa mtu mwenyewe ukimuangalia kajitoboa toboa maskioni ka mcheza shoo wa akudo nikatemana nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…