Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Miaka ya nyuma mabinti wengi walikuwa wanamuheshimu Mungu, wanaheshimu Dini na pia walikuwa wanawaheshimu Viongozi wa dini....kwahiyo walikuwa wakisema sifanyi sex mpaka siku ya ndoa ilikuwa NI KWELI na walikuwa wanajitunza kabisa.

Sikuhuzi kwakuwa wengi wanafanya mpaka hao viongozi wa dini wanavunja ndoa zao, basi nao wanahalalisha.

LAKINI BADO, kikristo ukweli unabaki palepale kuwa ni dhambi, tuombe Rehema tu.
Pia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.
 
Sasa akishamjua Mungu na akaokoka utajuaje kuwa hafanyi au anafanya na mwingine huku anakupa ahadi hewa?
Anaweza kuwa sio bikra ni kweli lakini bikra akawa aliipoteza kabla hajamjua Mungu
 
Sio Wote !!!
Hata hao walioshikamana na dini ni wanafiq tu,akikwambia hivyo eti mpaka uniowe muulize bikra anayo?Kama kweli alikuwa ameshikamana na Mungu wake then hiyo bikra aliipeleka wapi!

Wa hivi wanakuwaga na vibwana vyao uchwara vinavyowagonga ila wewe ukiingia na gear ya kuowa wanajifanya kukubania ili usimuone malaya sana,dawa na wewe ingia kihuni huni wazo la kuowa lifanye la baadae.
 
Hivi mwanamke anakupa papuchi au mnatumia? Afya ya akili inaweza kuteteleka kuanzia hapo kwa kuzoesha mambo yasiyo na uhalisia!!!
 
Mimi aliniambiaga anayo ila mpaka ndoa nikamwambia poa ika nionjeshe kwanza mara 1 bembeleza weee akakubali siku nakuja kula mzigo naweka chombo kinapita bila tabu dah nikasema hapa ingekula kwangu [emoji23][emoji23] nikapiga za mkwezi anaondoka ananiambia chini kunauma mara kafika kwao eti anaona damu kwenye pichu. ila hadi leo anasema mm ndio niliemtoa ila binafsi sijawahi amini hilo jambo sema now ni mjeda huko mkoani kila mtu alikula 50 zake, kanipa bikra feki nimempa ahadi feki.
Duh....Dawa ya moto ni moto. Hii inaitwa mwaga ugali nile mboga
 
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na wewe, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lakini yupo na wewe kwa kuwa una pesa au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Mkuu naona unauzoefu wa kutoka kapa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
I was cockblocked at campus for 3 effin` years......ilikua noma mazeeee....ila nilikua na michepuko yangu pembeni
 
Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lakini shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na wewe, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lakini yupo na wewe kwa kuwa una pesa au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Huwa wanaangalia sura kwanza za kuwaambia hivyo!hasa wasukuma ndio wahanga wakubwa[emoji23]
 
Walioshikamana na Dini angalau, ila wengine ni chenga tu..
Sure mkuu,Miaka mitatu nyuma kuna mdada mmoja nilituma maombi yangu kwake akakubali shida sasa eti halambwi mpk ndoa mtu mwenyewe ukimuangalia kajitoboa toboa maskioni ka mcheza shoo wa akudo nikatemana nae.
 
Back
Top Bottom