Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Miaka ya nyuma mabinti wengi walikuwa wanamuheshimu Mungu, wanaheshimu Dini na pia walikuwa wanawaheshimu Viongozi wa dini....kwahiyo walikuwa wakisema sifanyi sex mpaka siku ya ndoa ilikuwa NI KWELI na walikuwa wanajitunza kabisa.
Sikuhuzi kwakuwa wengi wanafanya mpaka hao viongozi wa dini wanavunja ndoa zao, basi nao wanahalalisha.
LAKINI BADO, kikristo ukweli unabaki palepale kuwa ni dhambi, tuombe Rehema tu.
Sikuhuzi kwakuwa wengi wanafanya mpaka hao viongozi wa dini wanavunja ndoa zao, basi nao wanahalalisha.
LAKINI BADO, kikristo ukweli unabaki palepale kuwa ni dhambi, tuombe Rehema tu.
Pia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.