Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Shida ni kwetu wenye vitambi hata tukijitahidi kutoa hiyo miguno mnaenda kututangaza kwa mashost zenu kwamba tunalia kama generator bovu... mnatuchanganya sana tulieni tufanye tunavyoweza maisha yandelee
 
Mtu yupo ovulation huyu, hapo ukipuliza sikio tu kitu kimetoa mma!!
Unapigaa 😊😊
Through back to when I weighed 50pounds. Time flies!.webp
 
Alisema nani kuwa utam una uzee, milio ya utam haiangalii, hata sisi babu zenu tunagugumia. Toa ushirikiano, guns kidogo bwana we!!
Haya masuala kila mtu anacho akipendacho au jinsi anavyokua huko chumbani.

Watu8 nimeona yeye tofauti na makelele anapenda pia mwanamke alegeze jicho.

Mambo mengi kama matumizi ya unga wa ngano, sasa naelewa watu wanaochepuka.
 
@Watu8 nimeona yeye tofauti na makelele anapenda pia mwanamke alegeze jicho.

Mimi nimetoa maoni tu kwamba kuna mtu anafanya mazoezi ya Yoga kutokana na uso kuwa mkavu...

Mwanamke aliyepenyezewa mkuyati na amekunjwa hivyo, uso wake ungekuwa wenye kuonesha ulegevu wa macho, kung'atwa lips na kijasho kwa mbaaaali...
 
Back
Top Bottom