Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Haya masuala kila mtu anacho akipendacho au jinsi anavyokua huko chumbani.

Watu8 nimeona yeye tofauti na makelele anapenda pia mwanamke alegeze jicho.

Mambo mengi kama matumizi ya unga wa ngano, sasa naelewa watu wanaochepuka.
Sahihi kabisa, nikutane na kitu kimenyamaza tu aaagr!

Binafsi sipendi hekaheka, kata mauno kama pangaboi naona michosho tu, so upo sahihi.
 
Mwanaume anayekusaidia kutoa miguno wakati wa kudinyana. Anakuuliza “Vipi mama nakuumiza mke wangu? Pole beibeyyy 😘 Misumari kilo moja

Halafu kuna Yule anakuangalia usoni kisha anakuuliza nini mamaa nipunguze kasi? Unamjibu hapana traaamuuuu 😹😹😹 Misumari kilo mbili

Halafu kuna yule anataka mshirikiane kwenye maswali na majibu, hawa mara nyingi wachaga oyaaa weeeh 😹
Utasikia nakufanya nini mamaaa?Unamjibu, unanisugua babaa..!! 🥰
Ulisema unahitaji shingapi ili ujazie mzigo dukani? Ayiiiiiii nyie huyu mimi nachangia misumari kilo kumi na cement mifuko 2 😹😹😹

Halafu kuna yule anakusugua utramu ukikolea anachomoa anaanza kukusomea makosa yako yote uliyomkwaza anataka umuombe msamaha. Ukiomba msamaha unapewa boloyanki lote unafika ukiwa hoi 😋 Nyie misumari kilo 3

Ladies malizieni hapo chini ujenzi ukamilike..!!

eron najua utakuja mbio kunichamba niko kwenye ovulation 😹
Mimi siulizi maswali ni mwendo mdundo, kimya kimya!
 
Dah! Kweli watu tunatofautiana.
Ndio maana wengine wanapewa majumba kumbe wanaililia.
happy show GIF.gif

Ila Ephen, nimecheka 😆 😆😆

Huu uzi umekosea kuupublish muda huu ndo maana malkia wa malavida ni mmoja tu hapa jukwaani naye si mwingine ni Binti wa zamani wengine mnaiga
Natalie Nunn Waiting GIF.gif


Sasa na wewe mtakatifu, hizi habari za kupangia watu nini cha kuandika na saa ngapi umeanza lini? Utachambwa na huyu dada mpaka masikio yakusimame, shaurilo!

******

Lamomy , ngoja nisome taratibu hizi replies kabla sijatoa michango yangu ya misumari, ila huyo mwanaume wa kwanza anayekusaidia kutoa miguno, kumpa kilo moja ya misumari umempunja sana, naomba tumuongezee!
 
Back
Top Bottom