Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Haya masuala kila mtu anacho akipendacho au jinsi anavyokua huko chumbani.

Watu8 nimeona yeye tofauti na makelele anapenda pia mwanamke alegeze jicho.

Mambo mengi kama matumizi ya unga wa ngano, sasa naelewa watu wanaochepuka.
Sahihi kabisa, nikutane na kitu kimenyamaza tu aaagr!

Binafsi sipendi hekaheka, kata mauno kama pangaboi naona michosho tu, so upo sahihi.
 
Mimi siulizi maswali ni mwendo mdundo, kimya kimya!
 
Dah! Kweli watu tunatofautiana.
Ndio maana wengine wanapewa majumba kumbe wanaililia.

Ila Ephen, nimecheka 😆 😆😆

Huu uzi umekosea kuupublish muda huu ndo maana malkia wa malavida ni mmoja tu hapa jukwaani naye si mwingine ni Binti wa zamani wengine mnaiga


Sasa na wewe mtakatifu, hizi habari za kupangia watu nini cha kuandika na saa ngapi umeanza lini? Utachambwa na huyu dada mpaka masikio yakusimame, shaurilo!

******

Lamomy , ngoja nisome taratibu hizi replies kabla sijatoa michango yangu ya misumari, ila huyo mwanaume wa kwanza anayekusaidia kutoa miguno, kumpa kilo moja ya misumari umempunja sana, naomba tumuongezee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…