Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Sijui kwanini nimepoteza muda kufungua huu ujinga na kukomenti.
 
Namuuliza mume nini anachopewa na mchepuko ambacho mimi simpi ananyamaza tu kimya kumbe huwa analiliwa🙌
Analiliwa huku anaambiwa "babe nit8mbeee, ingiza yoteeee" na wewe ma mjengo umekazana kusema unapenda kibubu bubu, akijengea mchepuko wakati wewe unaishi nyumba ya kupanga, unasingizia uchawi, kumbe mumeo anapenda vilio na wewe humpi 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…