Baby Doll
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 5,058
- 22,676
Mimi nipo Zanzibar tayari wewe ndio uje. Ila subiri msiba wa baba wa kambo umalizike.Haya panga siku twende Hotel Verde Zanzibar weekend hii
Mimi nipo Zanzibar tayari wewe ndio uje. Ila subiri msiba wa baba wa kambo umalizike.Haya panga siku twende Hotel Verde Zanzibar weekend hii
ErythrocyteMimi nipo Zanzibar tayari wewe ndio uje. Ila subiri msiba wa baba wa kambo umalizike.
Nakuwekea kwenye akaunti yako by saa 08:00 PM uwe hapaNauli hadi posta ni shilingi ngapi?😝😝😝
Mimi tena jamani?
Wewe sio mchakataji.. ulitakiwa uache open cheque ajijazie amount mwenyewe
Na wewe nakutaka. Dau panga mwenyeweWewe sio mchakataji.. ulitakiwa uache open cheque ajijazie amount mwenyewe
nitakulaani kijan mie sawa na babu yakoo.. uwe na adabu 🥸🥸Na wewe nakutaka. Dau panga mwenyewe
Mapema kabisa nitakuwa hapo.Nakuwekea kwenye akaunti yako by saa 08:00 PM uwe hapa
Wacha kitesekeAaaah unakitesa tu Bure
Hakuna cha kujaribu hapo hamna kitu 😂Try me nikuprove wrong 😁
Hujabadili mawazo toka muda ule jaman bless me😁Wacha kiteseke
Hahahaha mara moja sio dhambiHakuna cha kujaribu hapo hamna kitu 😂
Nawapentraaa pia dhambi zenu abebeshwe BICHWA KOMWE - 😹Asante sana mrembo Lamo, nasi tunakupenda pia.
Hapana kwakweli, Kuna mmoja nilihisi namuumiza Kwa jinsi alivyokuwa analia ila naacha kujua tatizo alinipa kauli ambayo sitakuja kuisahau maana aliitoa Kwa hasira sana😂😂😂😂Yananoga hujui tu!