Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,102
- 7,457
NimetumaVoda 😹
NimetumaVoda 😹
Mi kinyonga, kuna nyuzi sitaki utani..!!Stori zote mi huzipata jukwaa la 'habari mchanganyiko', sikujua alikokuanzia.
Yaani mkuu, ulimchamba hadi nikakutamani.
Nilipokuwa kijana, msichana akinichamba namna hiyo ilikuwa ni lazima nihakikishe tunakuwa wapenzi, yaani kwa kutumia mbinu zote uzijuazo ambazo hutumiwa na wanaume duniani kunasisha.
Hapana nina uhakika ni mieYawezekana, sababu niyemkariri katika kisa hicho ni yeye Lamomy.
Unajua umaskini mzigo, maana wanawake wa leo wanadharau sie hohehae, lakini sijapata tamaa. Uzi huu ni matunda ya mtongozo wangu.Id ya aliyekuwa akikwaruzana naye sikuikariri.
Enhe, mliishia wapi mkuu, haukumfuata pm, au kelele zake zilikutisha ukanywea?
Bado, nilikuwa sina bando, sasa hivi nimedandia simu ya boss wangu ninayemchingia mbuzi. Mwisho wa mwezi, akinilipa ndipo nitaweza kuingia YouTube. Kwa kunisaidia weka hapa URLJe umekisoma kisa cha RC wa Tbr kutongozwa na mwanamke kwa simu(kipo You tube)?
Kesho boss, sahii najisikia kukoroma kama siyo kulala!Hapana nina uhakika ni mie
Unajua umaskini mzigo, maana wanawake wa leo wanadharau sie hohehae, lakini sijapata tamaa. Uzi huu ni matunda ya mtongozo wangu.
Bado, nilikuwa sina bando, sasa hivi nimedandia simu ya boss wangu ninayemchingia mbuzi. Mwisho wa mwezi, akinilipa ndipo nitaweza kuingia YouTube. Kwa kunisaidia weka hapa URL
Nipo! Niende wapi?Laaziz upo? 😹
Nitumie namba yako pm 😎Ninatumia PC
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😁😁😁😁😁😁😁Unajuaje kama anaenjoy?
Hujamgusa vizuri lazima anene kwa lugha.
Em jizime data siku moja utoe miguno uone kama naye atajibu au lah..!!
Muulize wakati unamzagamua kama anaenjoy? Na umshike wapi ili asikie raha. Utaleta mrejesho hapa..!! 😹😹
Khaaaaa!! 😹😹😹Hapana nina uhakika ni mie
Unajua umaskini mzigo, maana wanawake wa leo wanadharau sie hohehae, lakini sijapata tamaa. Uzi huu ni matunda ya mtongozo wangu.
Bado, nilikuwa sina bando, sasa hivi nimedandia simu ya boss wangu ninayemchingia mbuzi. Mwisho wa mwezi, akinilipa ndipo nitaweza kuingia YouTube. Kwa kunisaidia weka hapa URL
ebu nione 😹😹😹 Acha tu!
Sijui nianze wapi ili unielewe..!!
Mimi nawathare tu maana zilongwa mbali na zitendwa mbali.Nimekuhamu 😘
Nakutafuta sanaKwani tumefiwa wote? 😹
K mpya kila mwanaume anapenda. 72 wengi sana hao.Sio umalaya huo, sasa si tulikuja duniani kwa kazi gani? Na ukumbuke bado una kazi ya kuwakaza bikra 72 peponi..!!