Na huu ndo umalaya wnywTafuta hela utaona wanawake wote mlipewa kama zawadi 😹😹
Ningefunga siku 3 bila kula kitimoto rost na ugali kukuombea kama ungejibu kistaarabu.Bado mumeo naye nimpe aichape ili utupongeze kwa pamoja..!! 😹
Ni mimi unanisema?Mh!
Ni wewe au umehackiwa?
Mbona huwaga mkali sana vijana wanapokutokea?
Kuna siku1 niliona comments zako ukimtukana sana baba m1 aliyekuwa anakufuatilia!
Leo nashangaa kuona kuwa kumbe huwaga ni mwanachama!
Ndiyo maana jamaa yangu husema kuwa, 'chama chetu hiki ni kigumu sana kujiodoa' ukikiingia kujitoa si rahisi hata kidogo!
hapo upo mwepesiii, umekojoa vingapi ...Eeeh 😹
Sa hivi tupo mapumziko tunakunywa maji..!!
Anamshangaa jamaa, anajiuliza, huyu jamaa anafanya nn, mbona sifeel chcht 😂Macho makavu kama anafuatilia mkeka wa vikoba...
Huyu hakuna kitu kinaingia mwilini kwake kwa macho hayo...
Yawezekana, sababu niyemkariri katika kisa hicho ni yeye Lamomy.Ni mimi unanisema?