Wanaume wa aina hii, najitolea misumari kwenye ujenzi wa sanamu zenu…

Mi kinyonga, kuna nyuzi sitaki utani..!!
Kifupi sizoeleki..

Kuna muda wa utani sio kila sehemu mtu ananiletea mizaha..!!

Kwahiyo huo ndo ugonjwa wako? 😹
 
Yawezekana, sababu niyemkariri katika kisa hicho ni yeye Lamomy.
Hapana nina uhakika ni mie
Id ya aliyekuwa akikwaruzana naye sikuikariri.

Enhe, mliishia wapi mkuu, haukumfuata pm, au kelele zake zilikutisha ukanywea?
Unajua umaskini mzigo, maana wanawake wa leo wanadharau sie hohehae, lakini sijapata tamaa. Uzi huu ni matunda ya mtongozo wangu.
Je umekisoma kisa cha RC wa Tbr kutongozwa na mwanamke kwa simu(kipo You tube)?
Bado, nilikuwa sina bando, sasa hivi nimedandia simu ya boss wangu ninayemchingia mbuzi. Mwisho wa mwezi, akinilipa ndipo nitaweza kuingia YouTube. Kwa kunisaidia weka hapa URL
 
Kesho boss, sahii najisikia kukoroma kama siyo kulala!
 
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😁😁😁😁😁😁😁
 
Khaaaaa!! 😹😹😹
 
Sio umalaya huo, sasa si tulikuja duniani kwa kazi gani? Na ukumbuke bado una kazi ya kuwakaza bikra 72 peponi..!!
K mpya kila mwanaume anapenda. 72 wengi sana hao.

Tunashauri aliyeweka kanuni hiyo abadilishe abakize watatu tu, kwa threesome hawakinaishi ili mtu kuweza kufanya na mitikasi zingine huko firdausi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…