Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 6,978
- 12,641
Huu uzi unaamsha vilivyolala
Ukiamua hutoi ukiamua unatoa.Zile sauti huwa zinatoka tu automatic au huwa mnaamua kuzitoa. Kwamba ukiamua hutoi na ukiamua unatoa milio. Unaweza kujizuia usitoe milio?
Acha ngono zembe bwana mdogo utakufa vibaya sanaMtu ulipatikana kwa style ya chuma mboga guts za kuita wengine malaya unazitoa wapi wee kenge? 😹
let us do itHata mara zote si dhambi
Huu uzi unahusu kudinyana comments zimejaa hatari. Uzi upo kasi. Kiukweli tunapenda haya mambo.😹😹😹 Najua ulifanya makusudi ili uone nitajibu nini?
Mnataka kuipeleka threesome mpaka firdaus kweli? 😹
Hivi wanawake tutapewa nini?
Mashababi 72 au? 😹
Aisee, kumbe tunaibiwa sana. Nilijua huwa inatokea tu na hamuwezi kujizuia cause wengine unaweza kuwaziba na mto kwa makelele yao. Ukiweka kichwa tu anapiga kelele vibaya.Ukiamua hutoi ukiamua unatoa.
Ndo maana mimi sitaki huo utapeli.
Shtuka😂Aisee, kumbe tunaibiwa sana. Nilijua huwa inatokea tu na hamuwezi kujizuia cause wengine unaweza kuwaziba na mto kwa makelele yao. Ukiweka kichwa tu anapiga kelele vibaya.
Yaan, mi demu akilia tu..tako tano sifikishi..usipolia tunaenda mwendo kidogo😁😁😁Shtuka😂
Huoni huwa tunafundishana jinsi ya kulia kimahaba, sasa ingekua inatokea yenyewe mafunzo ya jinsi ya kulia ni ya nini?
Kwanini?Yaan, mi demu akilia tu..tako tano sifikishi..
Hisia zinapanda haraka sana kuliko ngoma ikipigwa kimyakimya.Kwanini?
Yeah inasisimua ila mimi ni bubuHisia zinapanda haraka sana kuliko ngoma ikipigwa kimyakimya.
🤣🤣🤣🤣WANAWAKE WOTE NI MALAYA, WANATOFAUTIANA MBINU TUU
🏃🏃🏃🏃Mlete na mumeo awe wa tano ili nijue namchangia misumari kilo ngapi 😹😹
Kwa hiyo wewe hata sabufa haliwashwi😁😁😁Mechi ya kimyakimya sizipendelei sana na huwa nikipata mwanamke bubu basi sidumu nae. Napenda wale wanalilia dudu washa cause unahisi kama kazi unayoifanya unaifanya vyema hata kama unaibiwa. Ukikaa kimya najuaje sasa kama nakukoleza.Yeah inasisimua ila mimi ni bubu
Utajua kama unamkoleza kwa kumfikisha kileleni atoke maziwaKwa hiyo wewe hata sabufa haliwashwi😁😁😁Mechi ya kimyakimya sizipendelei sana na huwa nikipata mwanamke bubu basi sidumu nae. Napenda wale wanalilia dudu washa cause unahisi kama kazi unayoifanya unaifanya vyema hata kama unaibiwa. Ukikaa kimya najuaje sasa kama nakukoleza.
Kumbe yale maziwa ndo unakuwa umefika kileleni. Mimi akilia sana najua amefika kileleni..sasa kama unaongopa sijui ila najisemea hapa kazi nimeifanya hata kama nimepiga tako 3😆😆Utajua kama unamkoleza kwa kumfikisha kileleni atoke maziwa
Unaibiwa- RayvannyKumbe yale maziwa ndo unakuwa umefika kileleni. Mimi akilia sana najua amefika kileleni..sasa kama unaongopa sijui ila najisemea hapa kazi nimeifanya hata kama nimepiga tako 3😆😆
😁😁😁😁Dah! Haina jinsi hii.Unaibiwa- Rayvanny