Mpendwa, yafaa nini hela bila show ya kibabe??!!
Mnawataka au ndo inabidi iwe hivo amigoUnajua nyie mmetofautiana.
Kuna mnaotaka show za kibabe na wanaotaka pesa. Yani show ni nothing.
Sasa huku dsm tunawataka hao kundi la pili.
Achana nao hao wa mkoa. Wakishuka Ubungo mtihani wa kwanza ni kuvuka barabara. Kwanza majengo yanamchanganya, pili hajui anaanzaje kuvuka barabara. Wengi wanaishia kupiga simu tukawapokee, halafu wanaleta dharau eti wanaume wa Dar dhaifu. Shynzy taipu
Aakh.mmechoka kila kitu kiboko yenu ni Simba wa kimasai na kichaga.Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Uchochezi uko wapi mkuu[emoji23][emoji23]Huu ni uchochezi[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapo na mimi nilichoka nilipoliona hili, tena wanakaa kwenye siti wakati mama mtu mzima anaelingana hata na mamake mzazi amesimama[emoji2] [emoji2] [emoji2]mi wamenionesha kitu kipya sikuwahi kukiona mkoani, kusukuma wanawake ili wawahi siti ya gari.... Happy new year wanaume wote wa darrrr
Gym wanaenda kupiga picha tu wapate sehemu ya kuandika vi English vyao,kwani hamjui??Kwa kweli mmewasoma haswa
Wasaidieni jamani kama ndio hivyo
Naona hata gym inatumika kuangalia chicks tu
Ongeza nyingine kwa kweli then cheersCheers kwao
Maserat haya maneno yako au,anyway poa tuu ntakusubiri kule maeneo yetu tuu.Nachowapendea wanaume wa dar
1.chakula chenu chips mayai
2. Hamuhangaiki na miganda ya miwa mchane fidhi za meno na midomo yenu,nyie juice ya muwa tu. Kamua nyie mwanywa tu.
3.Hamna shida,mwizi akikuibia unasema kamata mwizi,kamata mwizi usipo sikika unaachana nae.
4. Mnanichosha kwa wivu tu,mnataka mfanane na sie dada zenu,mnavaa pedo siku hizi,vibukta vya beach tunapishana navyo barabarani...chaaaa
Kubwa mnaloweza wanaume wa dar ni kuitikia vituo kwa makonda utasikia "shushaaa" kwa sauti kuuuubwaaa ili akikupitisha kituo ukiwashe a.k.a uamshe dude.
Nawapendea hivyo hivyo dear wanaume wa dar.
Cheers to you
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]si huo unaofanyaUchochezi uko wapi mkuu[emoji23][emoji23]
Kwani wanatuchukuliaje? Maana kila tukio lililoshindwa kukamilishwa na Mwanaume Fulani utasikia ooo..wanaume wa dar ndio wameshindwa,akitotokea mtu muoga,mwenye udhaifu anaitwa mwanaume wa dar,tunaonekana wanaume wa Dar sio majasiri,shupavu,waoga na wadhaifu, hii haikubaliki.
Msituchukulie poa aiseee
Jomoni jomoni, usiseme hivo. Gonga cheers kwanza.Maserat haya maneno yako au,anyway poa tuu ntakusubiri kule maeneo yetu tuu.
Yani hata kibibi kinashika bomba kusimama, wanaume wamekaa....wanaume wa dar sio wa mchezoHapo na mimi nilichoka nilipoliona hili, tena wanakaa kwenye siti wakati mama mtu mzima anaelingana hata na mamake mzazi amesimama[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Leo hii itakuwa agenda yangu kwenye lile jukwaa la popooooZ ili unieleweshe vizuri.Jomoni jomoni, usiseme hivo. Gonga cheers kwanza.
Mi nawaelewa sana wanaume wa dar hamjui tu. Na mnavopenda juice za miwa zenye tangawizi na hiriki. Waache wanawaonea wivu wa mkoa wanakomaa na mafundo ya mua mpaka midomo ina chanika.
Cheers[emoji482]
Na chachandu za dar za kipekee, mkoani hupati acha tu mkoani wawalimie pilipili zije dar watengenezeweWanaume wa dar hawali mipilipili mbuzi sijui pilipili kichaa ili iweje?? atoe ulimi nje kama mbwa au[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wao wanakuambia chachandu buana Mara ya kwa mpemba,Mara ya kwa sadamu makuku,sijui ya mamboz wanajua mitaa yote. Chedhea wa daslama wewe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wananimaliza na msemo wao "kwetu dar" [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aaaaaagh cheers boys and men from daslama
Evelyn Salt