Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
Na sisi wanawake tunaofanya Ivo tupoβΊοΈZamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi ni zaidi ya vichaa. Ukifanya hivyo huyo mmama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua π£
Kwamba mnaweka stock ya kila kitu ndani alafu njemba anaenda kufungua genge au duka mtaa wa saba?Na sisi wanawake tunaofanya Ivo tupoβΊοΈ
Ongera zako kama unaufuata na ujagundua dosariUkiona unanunua sijui mchele kilo moja moja au unga na sukari,
Tafuta hela. Maisha yamekugonga.
Anyway kila mwenye Familia anakuwa na budget yake, fungu likiingia ni kulipia Bill zote za kujikimu za Home, + Chakula .nk
Kwahiyo huo utaratibu weng tunaufuata.
Wee ukifanya hivyo uswahilini kwenye nyumba za kupanga utashambuliwa na kuulizwa kwani Tanzania kuna vita?Zamani wanaume wenye familia tulikuwa tunanunua vitu kwa jumla, mchele kilo 50, unga kilo 25, sukari kilo 25, mafuta ya kula lita 20, sabuni kiroba kizima, sabuni carton nzima, ges mtungi wa kilo 30, nk, nk na mambo yalikuwa shwari kabisa familia haina shida. Sasa jifanye unanunua vyote hivyo ndo utakuwa mwanzo wa kuua familia maana wanawake wa siku hizi ni zaidi ya vichaa. Ukifanya hivyo huyo mmama ataenda mtaa wa mbali na kufungua genge au duka na kupiga nusu ya kila kitu na kuanza biashara! Ziko familia nyingi zimeshindwa kuvuka baada ya mume kugundua π£
Njemba gan Tena Kwan mtu akiwa anaishi mwenyewe hawez fanya iyo shopping ??Kwamba mnaweka stock ya kila kitu ndani alafu njemba anaenda kufungua genge au duka mtaa wa saba?
mnatuumiza wanaume, mtuonee huruma, hatupendi mpate shida ya kuhemeaNa sisi wanawake tunaofanya Ivo tupoβΊοΈ
Sio rahisi kuweka stock kubwa kama unaishi mwenyewe! VitaharibikaNjemba gan Tena Kwan mtu akiwa anaishi mwenyewe hawez fanya iyo shopping ??
Unga kilo 25, mchele ndo kilo 50 (habibu za rejea zizingatiwe)ππNgojaa waje wakuambie tafutaa Hela unga haununuliwi kilo 50 kuweka ndani UTAVUNDAAπππ
Na ni kwel tutafute pesa hicho sio kiarabu bwasheeNgojaa waje wakuambie tafutaa Hela unga haununuliwi kilo 50 kuweka ndani UTAVUNDAAπππ
ππππ Unga kilo Tano tu mkuu zinatoshaaUnga kilo 25, mchele ndo kilo 50 (habibu za rejea zizingatiwe)ππ