Atlast nimempata
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 585
- 1,166
- Thread starter
- #41
Ndo nawaambia hivyo! Tulikuwa tunanunua stock kubwa. Sasa hivi kwangu watoto hawapo wameishajitafuta na kujipata. Kiukweli mwanaume nunua stock at your own risk! Uwe na uhakika unafungua genge au duka mtaa wa pili. Wake wa siku hizi wanajijua wenyeweUnajua hata ile tabia ya mke kwenda dukani kila mara kununua rejareja haipendezi, mara unga kilo, mara mafuta kijiko kimoja, mara mchele nusu, ni aibu. Nyumba inatakiwa ijazwe stock ya kutosha kula kuanzia miezi miwili hadi mwaka mzima. Jaza mpaka friji madikodiko yajae huko, dukani safari zipungue.