Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Wanaume wa enzi hizo mpo bado au yalishawafika? Tujuzane!

Kwa sasa wa kuwafanyia hivyo ni hawa "kienyeji" tu, siyo dada zetu hawa wanaojikuta maborn town utaumia 😎
 
Umeandika Jambo la maana sana.
Nilikua na mwanamke mmoja nilikua nampenda sana, nilinunua Mchele gunia kilo 100 ni kazigawa 50 kwa 50, nampgia simu naitaji Tuonane ananiuliza kuna nini niambie kwanza unachoniitia ndo nije yaani Hata Ile hamu ya kuubeba huo Mchele iliniishia pale pale, nikaupeleka kuugawa kwa Watoto yatima ule Mchele.
 
Kuna siku nilinuua vitunguu kilo 3, mafuta ya alizet lit 3. Kuna manzi moja ikaja hom, ikaingia kupika jikoni, keaho yake anataka kusepa nikamuona kabeba vitunguu kadhaa huku anajiuma uma akiniomba amimine mafuta hata nusu lita. Hapo nishajipigia hesabu ya karibu miezi miwili ijayo sitohangaika na hivyo vitu gengeni, nikamwambia achukue vyote nikamuongezea na kibunda cha viberiti kile cha jero, alinishukuru mno!

🤣🤣
 
Hahaha 😁, Tajiri Sina BAYA ana pesa nyingi sana.
Mno mkuu.
Kuna mpango nausuka ili niwe najenga mitambo ya kiotomatikali ya kusambaza pesa zangu kwa watu wenye njaa.

Yaani iwe watu wanafungulia pesa kama wanavyo fungua maji tu kwenye mabomba.

Nikiukamilisha huu mpango nitaweka uzi humu jf wa kuomba majina ya watu watakaotaka kuingia katika majaribio.

kama nina baya semeni...
 
Mno mkuu.
Kuna mpango nausuka ili niwe najenga mitambo ya kiotomatikali ya kusambaza pesa zangu kwa watu wenye njaa.

Yaani iwe watu wanafungulia pesa kama wanavyo fungua maji tu kwenye mabomba.

Nikiukamilisha huu mpango nitaweka uzi humu jf wa kuomba majina ya watu watakaontaka kuingia katika majaribio.
Ukiweka huo Uzi PM yako ita Burst
 
Wengine hugawa kwa marafiki zao wanawake jirani. Mwanaume unakuwa unahudumia familia mbili, tatu, mke anatapanya stock kama hana akili nzuri
Nikigundua huyu rafiki yake atakuwa mke mwenza wake....
 
Mno mkuu.
Kuna mpango nausuka ili niwe najenga mitambo ya kiotomatikali ya kusambaza pesa zangu kwa watu wenye njaa.

Yaani iwe watu wanafungulia pesa kama wanavyo fungua maji tu kwenye mabomba.

Nikiukamilisha huu mpango nitaweka uzi humu jf wa kuomba majina ya watu watakaotaka kuingia katika majaribio.

kama nina baya semeni...
Wala huna baya tajiri.
 
😆😆😂😂😆 ila nitaweka mkuu haitakuwa shida sana, kosa litakuwa ni la muweza ambae ameweka pesa nyingi kwa mtu mwenye roho nzuri.
Kiufupi tunasema hela zimeenda sehemu sahihi....ila serikali ikikaa na wewe vizuri unaweza kusaidia kulipa deni la taifa
 
Kiufupi tunasema hela zimeenda sehemu sahihi....ila serikali ikikaa na wewe vizuri unaweza kusaidia kulipa deni la taifa
😂😂😂😂😂
Ah Silikali haina tumbo, mimi nadili na watu wa chini ambao wana shikwa na njaa na wana dhiki.
 
😂😂😂😂😂
Ah Silikali haina tumbo, mimi nadili na watu wa chini ambao wana shikwa na njaa na wana dhiki.
Nimekuelewa wewe unataka kusaidia kunyanyua maskini na kupunguza umaskini

Zikija nyuzi za kuomba mtaji au hela ya chakula nitakuwa nakutag tajiri
 
Kabisa kuna wanawake vilaza ambao hawajelew kabisa mkuu
Mme anahastle kuweka stock ya chakulq na mahitaji ya muhimu ili familia isipate shida na watoto Ila yeye anagawa vitu hovyo kwa mashoga zake hadi vinaisha
Unabaki kujiuliz vimeishaje na yeye Hana habari tena anajikausha Kama hajui alichokifanya
Hao wanawake mnawatoaga wapi wa kugawa ovyo jasho la mumewe au kuuza ili apate pesa? Mh aisee
 
Back
Top Bottom