Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 26,224
- 71,873
Na hapo bado unataka kumuweka ndani, bora anayeomba pesa kuliko huyo wa kuomba mafuta na vitunguu mafuta yenyewe ulinunua lita 3,Kuna siku nilinuua vitunguu kilo 3, mafuta ya alizet lit 3. Kuna manzi moja ikaja hom, ikaingia kupika jikoni, keaho yake anataka kusepa nikamuona kabeba vitunguu kadhaa huku anajiuma uma akiniomba amimine mafuta hata nusu lita. Hapo nishajipigia hesabu ya karibu miezi miwili ijayo sitohangaika na hivyo vitu gengeni, nikamwambia achukue vyote nikamuongezea na kibunda cha viberiti kile cha jero, alinishukuru mno!