Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,492
- 65,712
Bila shaka Mjukuu, Wazee wenu tutafanya hivyo ili kunusuru Ndoa zenu💐🥰
Ongeeni na vijana jamani, kama ugali nao ni kitu cha kumsimanga mtu ni heri wabaki kuishi kwao
Kawaida ikitokea Kijana wa kiume ana hiyo changamoto, Binti anaweza kukimbia Ndoa Kwa masimango hata kama walifunga miezi 8 iliyopita