Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Kweli kabisa mkuu hizo ni mbinu za kivita[emoji28]Mwanamke usimpe muda wa kufikiria[emoji23]
We ndugu una nyota ya kuchapiwa kila mwanamke uliye naye duuh ππShida ya wanawake anataka ahudumiwe ss kabla hajaanza kuleta invoice unaanza kumpoteza kiaina
π€£π€£π€£π€£π¬π Eti feelings zinapoteaNa wale wawapao pesa Kama Hana hela feelings zinapotea inakuwaje hapo madame.
Umetujuaje ππ¬πππWapo...fasta wanataka kumega alafu wasepe
Siku mbili nyingi sana, dakika chache tu, wataalamu wa mahusiano wanasema mwanamke akimwangalia mwanaume ndani ya dakika 2 tu, shaamua amvulie chupi huyo mwanaume au la, kama mwanaume ni type yako physically Ms eyesHizo feelings zinatengenezwa ndani ya siku mbili tu? Ukumbuke kuwa wanawake tunajenga upendo taratibu na ndio hapo tunaanza kupata feelings ... Tofauti na wanaume ambao wao huwa wanaongozwa na tamaa
Mwenzako anakuwa amewahi kukupenda vizuri kabla yako wewe ndio maana inakuwa hivyo πYaani hawa wanaume wanatufanya tuwaogope for real, mtu Hata hamjaanza kupendana vizuri analeta nada zakeπ€π
Hakuna tofauti kati ya binadamu na ng'ombe.Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aiseeπ Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi π€π
Naona unasagia kunguni kweli kweli.Wanataka kuonja angali mboga bado kuiva π
Hapo ni uanaume sasa. Wanaume tumeumbiwa kutongoza na kuchakata. Ndio maana mwanaume anaweza kukutana na wewe njiani akakuambia dada nimekupenda. Ukimkataa haitachukua hata lisaa keshakusahau anatongoza mwingine.
Kwa mazingira hayo ni wewe kukubali au kutaa ambapo vyote havina effechayo ndio mazingira ambayo nimekutana na huyo stranger amtu
Fear men ππHakuna tofauti kati ya binadamu na ng'ombe.
Hata kuku jogoo wana afadhali. Utakuta kajogoo kanam care jike hadi unaona wivu. Binadamu sasa, hiiiiiii kwakweli! Kazi ipo
Huu mgawanyiko wa majukumu umekaa poa sanasii tumekubaliana wanaume waombe mbusus wanawake waombe hela. hakuna kupotezeana muda bwana.
I don't fear anyone....thats why akinipara, namparuraaaππFear men ππ
Mie sitoagi ahadimungu anakuona we mtu, mwaka mzima huoni kama unampotezea mda mwenzio
ππππππππ¦Simama tuombe
Kwan muda wa kutupenda unachukua siku ngap?Yaani hawa wanaume wanatufanya tuwaogope for real, mtu Hata hamjaanza kupendana vizuri analeta nada zakeπ€π