Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee💔

Ukiona unatumia mda kumpenda mtu ujue unajilazimisha, Ile kitu ni automatical the first sight

Kwan wee unadhn one night stand na strangers nyng huwa zinapigwaje?

Mtu humjui hakujui nnakutana kwny bus na mnakulana
Aisee mimi nimegundua sipendwi kazi kuombwa hela tu nikimuita gheto haji inawezekana kuna mwingine anapewa tu mzigo .
 
Thread closed!
Over
 
Mwaga madini mkuu
 
Hakuna tofauti kati ya binadamu na ng'ombe.
Hata kuku jogoo wana afadhali. Utakuta kajogoo kanam care jike hadi unaona wivu. Binadamu sasa, hiiiiiii kwakweli! Kazi ipo
Watu hawana mda wa kupoteza[emoji16]
 
Nachukua hii mkuu
 
Damn! Unakuta mtu analeta yale mambo ya awwww una kashape kazuri, Eti nimekuota leo (wet dreams)😤💔 na hamjazoeana
Sasa jaman... Ulitaka akae kama anasubir majibu ya kazi, me mwanamke anaenicheleweshea mzingo ndio namkazaga alafu namwacha, anaewaisha huwa namweshimu sana hata akilia shida me huwa mwepesi kusaidia
 
Wanawake wa ajabu sana. Atakua na wanaume kama wanne ivi.

1. Anahudumia na penzi hapewi
2. Anahudumia penzi anapewa kwa mgawo
3. Hahudumii chochote na anapewa penzi full time, hapa ndipo mwanamke anajimwaga hata tigo atatoa. Yaan badman, hapa hata vipigo hutembezewa.
4. Ahadi ya ndoa. Huyu anafanana na no 1 isipokua yeye kapewa ahadi ya ndoa. Hapa ndo wanajifanya watakatifu wanaheshimiana hawataki kuvunja utaratibu wa mapenzi kabla ya ndoa.
 
Hii no.3 imenikumbusha mbali sana na kwake nilikuwa naenda nalala kabisa[emoji2960]
 
Wanaume wa hit and run wanaongezeka kwa kasi ya ajabu mno aisee[emoji174] Ladies kuweni makini ... Imagine mtu mmekutana hamna Hata week ameshaanza kuleta stories za Mapenzi [emoji36][emoji119]
Wiki ni nyingi aisee, mm nikikutongoza ukanikubalia mda huo huo naomba mzigo ukininyima tunaachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…