Usupastaa wa kitu gani mkuu?Kiukweli sijawahi kuichukulia JF kisiriazi kabisaaa, kwamba huku jf kuna masuper staaa daaaahhh aseeee nimeshangaaa sana.
Huwa naogopa sana kufata wadada PM, naogopa mno
Umeanza lini umbea lakini? [emoji23][emoji23]Nakuja PM unitajie
Yamekukuta nini shoga??.Nakazia
[emoji23][emoji23][emoji23] roho inaniuma sana kutopata habari kamili ili nijitahadhari PMUmeanza lini umbea lakini? [emoji23][emoji23]
AmeenHili povu liwafikie all pugies behind keyboards
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umeniua kwa kicheko ujueNani huyo chief? Kwenye uzi wa hazard cfc kule JLW utakuta koment yangu nijibie kule
Tena ushukuru hatujaandika marefu kama magazetiMpunguze speed ya maandishi mnanipa wakati mgumu wa kusoma comments
Hayajanikuta shooYamekukuta nini shoga??.
Nakuja PM unitajie
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Tena ushukuru hatujaandika marefu kama magazeti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] roho inaniuma sana kutopata habari kamili ili nijitahadhari PM
Nimekupenda bureHha
Hhaahaaaaa!!kaka usijali Mimi sina kinyongo yameisha one luv!
Hii mada hajanikuta ila yamewakuta wengine so nimeleta mawazo ya watu!Sina kinyongo na wewe na wala mwingine yoyote!
Maisha yaendeleee kaka!
Nami niwie radhi kama nimekuoffend sehemu yoyote au nimetumia lugha kali pia!
Sina haja ya kukuweka ignore list kwa sababu hujawahi hata nitukana wala kunisonta kivile.Yaweza kua mawazo yangu tu ndo yalikua mabaya so am sorry pia kwa hilo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sina mikwara bwanaa!maisha yaendelee!!!
Anhaaaa. Ila unafki haukwepeki kwenye maisha ya binadamu. Mtu anakuja kwenye maisha yako unaona mnaclick unamuamini unaanza kujiachia nae kumbe alikuja kwako kukujua tu sababu anakuonea wivu ila sio kwamba anakupenda.Hayajanikuta shoo
Ukweli mtupu mpendwaAnhaaaa. Ila unafki haukwepeki kwenye maisha ya binadamu. Mtu anakuja kwenye maisha yako unaona mnaclick unamuamini unaanza kujiachia nae kumbe alikuja kwako kukujua tu sababu anakuonea wivu ila sio kwamba anakupenda.
Naomba unijibu hata wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Umeniua kwa kicheko ujue
Mi simjui hata. Ukimjua karibu pm kwanguNaomba unijibu hata wewe
Me nakupenda!. jiamini full charge!.Anhaaaa. Ila unafki haukwepeki kwenye maisha ya binadamu. Mtu anakuja kwenye maisha yako unaona mnaclick unamuamini unaanza kujiachia nae kumbe alikuja kwako kukujua tu sababu anakuonea wivu ila sio kwamba anakupenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]on [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] shunie waambieHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Mmhhh mniundie kikosi kazi cha mwanaume mbeyaMi simjui hata. Ukimjua karibu pm kwangu