Wanaume wa JamiiForums nawajibu kwa nini tunawafungia PM na wengine hatuwajibu

Imebidi nirudi kuisoma post yako!.. Hebu nitajie jina naenda Tunakodisha Bunduki nikadeal nae!.
 
Tangia nikuone jf nakupigia sana misele na pm zangu hujibu. Kumbe muoga.
Ila napenda uandishivwako. Love u
Ukiona sikujibu pm yako haujaandika maneno matamu.
Sasa unauliza mambo?
Nakujibu poa!
Unauliza mzima?
Nakujibu!
Unauliza tena kwema??
Pande zipi (TENA HILI SWALI NALICHUKIA SANA)

Ila wewe sidhani kama una maswali ya kijinga kama hayo.
I LOVE you too!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Halafu anamalizia na "NIAMBIE" [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…