PoleHapo kwenye kuwajua watu hapo yaani hapo hapo yamenikuta mm mtu unakutana nae jukwaani anakwambia shunie nakujua ww khee umenijuaje kumbe kuna pugi anasambaza picha zangu
We kaka endelea tu kusambaza picha zangu sawa eenh hivi unalipwa kwa mfano ukisambaza picha za mtu haya unanisambazia picha zangu ndio kwanza wananisifia hawanipondi kama ulitaka waniponde imekula kwako na uendelee vizuri kusambaza picha zangu mfyuuuuuu zako
Nitarudi
Kwahiyo ndio umeamua kuja kunitaja huku eeehhhhhh.......[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Hivi nikisema mzee huelewi nasema mzee yupi?Mzee nanii?
Asante mshipa wake mtu shikamoo lakiniPole
Sasa nilikuwa na mpango wa kuja PM kwako. Kwahyo ndio ushaifunga?Kwani wa mitandaoni wana tofauti gani na wahuko mtaani kwenu!
Binadamu ndo wale wale wa humu na nje ya humu sema inategemea unatuma picha na sio wote wanatuma picha wengine wanakuja whasaap wanatoa picha yako!
Halafu kingine yaani humu jf ni zaidi ya uijuavyoo kaka!
Hata kwa i.d ya scientist tz sijawah alyechat na mm ajitokeze sina shobo kwa madem wa jf nawaheshmu mahusiano yetu yanaishia jukwaanKwa ile id yako nyingine..
Yamekukuta yapi mkuu..Humu JF kuna watu wana akili mbaya balaa,mimi pia yamenikuta yakunikuta ndungu zangu
Marhaba. Hujambo mrembo?Asante mshipa wake mtu shikamoo lakini
Hahaaha umeitwa pugiKwahiyo ndio umeamua kuja kunitaja huku eeehhhhhh.......[emoji30][emoji30][emoji30][emoji30]
Nimekoma mimiNayajua majanga yako
Kwa ile nyingine tena mkuu..Hata kwa i.d ya scientist tz sijawah alyechat na mm ajitokeze sina shobo kwa madem wa jf nawaheshmu mahusiano yetu yanaishia jukwaan
Ila kuna mmoja ntamwaaproach ngoja na hawez kuchomokaKwa ile nyingine tena mkuu..
Mm nawaogopa hawa wanawake kabisa