Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Sema kweli jamani ulivyoongea mambo ya tigo pesa umeshanivuruga ujue
[emoji3] [emoji3] [emoji3] toa lock iyo nkutigo pesa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] toa lock iyo nkutigo pesa
Unamkana mchana kweupe hatarudia
Sijambo kaka chige jamani nimefurahi kukuona nimependa ulichoandikaMarahaba mdogo wangu Shunie, hujambo enh!!!
Njoo pm kwanza tuzungumze kirafiki kama hautajali.Anzia kwangu
Njoo pm kwanza tuzungumze kirafiki kama hautajali.
Hahaha yaaniHata mimi nashangaa, itabidi tuanze kwenda pm mkuu
Tangu lini nikawa na utani na wewe cheupeSema kweli jamani ulivyoongea mambo ya tigo pesa umeshanivuruga ujue
Hehehe aisee, utakuwa mzoefu mkuu[emoji2] [emoji2] [emoji2] pashapendeza kabla ata sijaenda
Nakusalim divine..Napita nitarudi baadaye
Siyo mzoefu yaonesha tuHehehe aisee, utakuwa mzoefu mkuu
Hehe sasa usiombe atume screen shuti inaonesha jina hehehe sisi ni mwendo wa kusevu tu kwa tecno zetuNimecheka sana
Nami naja huko mkuu!Siyo mzoefu yaonesha tu
Acha ujinga sio kila mtu anawaza hizo k zakoWanaume wa humu ni wanafiki! Sote tunatafuta K lakini wenzetu wanajifanya malaika! Unajaribu huyu akikataa yule hadi k unaipata na kuigida kiroho mbaya au siyo Shunie
Tatizo avator yako mkuu! Badili avator kama kuta kuchwa!Nina miaka kadhaa humu hizo pm sijaziona naona wenzangu mna nyota ya alfajiri
Kanan mkuu hebu ntajie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nshakajuaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina miaka kadhaa humu hizo pm sijaziona naona wenzangu mna nyota ya alfajiri