Wanaume wa JF hamcheleweshi, mnatongoza hovyo kila mnayemwona!

Eti eeeh!! Hebu nitumie pesa kwakweli.
Nina mpango wa kukukabidhi ATM card yangu na Password lakini tuu uniletee ile chupi yako uliyosema nisiilete hapa nitaitunza mchagoni kwangu
 
Yani mimi swala nipite kwenye zizi la chui ama fisi kwa amani tu? huaminiki wewe unaeza nichenchia.... bora nikipita nisipite na wallet yangu tu
ha ha ahha usiogope bwana nitakuonja tu upo salama
 
Wana mbio utadhani wanaoga nje, hawana patience hata kidogo.
Ni utoto tu wakikua wataacha.
Kwa hiyo mnataka kunikimbiza kweli hapa.
 
Umeshautafuta ukweli au ndio upo kwenye upelelezi? manake hiyo ishu imevuma kinyama
Haha, ilikuaje maana siku hizi sipati muda wa kuzunguka kote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…