Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Yesu wangu...
Bora mimi sinaga mpango na mwanamke wa humu jf kumbe dharau zenyewe ndo kama hizi?
Alafu inaonekana mleta mada umetumika sana..pole zako
 
Hapo kwenye shamba babe wa zamani nakazia.
 
Kama umewaka kunjua roho ndo nimeelewa. Mengine naendelea kuyatafakari mpenzi wangu
 
Namba 4 na 5 [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Hahaha[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hahahahha

Mi nikiona watu wana anzisha mijadala ya kuwalalamikia watu humu, naona hizo ni stress tupu.
Hata sio stress mtu kuanzisha mada au ku comments maoni yake ndo mitazamo hyo kinachotakiwa uvumilivu tu. Mbona mie shaanzishiwa mada humu so hamna cha ajabu. Sasa watu wasipoanzisha mada sikuta doda. Kulalamika ni nature ya mtu tena hutibu maradhi mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…