Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Wanaume wa JF mnajishushia CV zenu kwa wadada. Kuweni real, acheni fake life

Are you dating?
Yes I'm dating someone who loves me so much eeeh
IMG_20181209_105410_718.jpeg
 
Hapo kwenye shamba babe wa zamani nakazia.
Duuh naona mnatusema wa chuga aseeh.

Mbona hatuna hizo pan'gan'ga.

Honestly speaking.

JF tunawashamba wengi saana kwa wanawake na wanaume pia (huenda nami nipo).

Na kuna watu humu naamini tukiamua kuwa real kukemea kila ushamba wa humu tutachukiwa saana ilihaki tunajipumzisha huku kijiweni.
 
Kama umewaka kunjua roho ndo nimeelewa. Mengine naendelea kuyatafakari mpenzi wangu
Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!

Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.

Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.

Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.
 
Namba 4 na 5 [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.

Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Hahaha[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Hahahahha

Mi nikiona watu wana anzisha mijadala ya kuwalalamikia watu humu, naona hizo ni stress tupu.
Hata sio stress mtu kuanzisha mada au ku comments maoni yake ndo mitazamo hyo kinachotakiwa uvumilivu tu. Mbona mie shaanzishiwa mada humu so hamna cha ajabu. Sasa watu wasipoanzisha mada sikuta doda. Kulalamika ni nature ya mtu tena hutibu maradhi mengi sana
 
Back
Top Bottom