Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Tafutatafu basi upate ya miguu minne
Avatar yako kama Mary J , unanishawishi nianze kukuongopea ujue [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafutatafu basi upate ya miguu minne
Duh hio miwani na sura ngumu kama inanihusu vileee...
Uje untangaze?
Hahaaaaa wachagga hawanaga sura chachu za kutisha watoto. Ngoja nianze kumtafta tena warombo ni weupe hatari na mie cheusi mangala si nitapata katoto kazuri flani hiviSi kweli bado hujakutana nasi wachaga wa Rombo
Oooohooo uongo tenaAvatar yako kama Mary J , unanishawishi nianze kukuongopea ujue [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naona umejiongezea siku za kuishi.Jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yes I'm dating someone who loves me so much eeehAre you dating?
Yes I'm dating someone who loves me so much eeehView attachment 961326
Duuh naona mnatusema wa chuga aseeh.
Mbona hatuna hizo pan'gan'ga.
Honestly speaking.
JF tunawashamba wengi saana kwa wanawake na wanaume pia (huenda nami nipo).
Na kuna watu humu naamini tukiamua kuwa real kukemea kila ushamba wa humu tutachukiwa saana ilihaki tunajipumzisha huku kijiweni.
Hasa mbona unaonekana una stress?
PoaMambo mrembo .
Hahahah tabia na maisha yetu wabongo tunayajua bana hamna haja ya kujikweza sana, tatizo wanawake wana fall inlove sana na uongo kuliko ukweli maana uongo umebeba yale yote wanayopenda kuyasikia, ukijitia msamaria mwema unaenyoosha maelezo kama ruler mapema tu lazima utaishia kwenye bao la mkono tu na buroku!
Nachoona wacha maisha halisi ya mtu yabaki sirini, kama mtoto akielewa kali basi achojoe kikosti, kitu ndina kisha itabaki story kila mtu akishamwaga.
Ukifuatilia humu mbona wanawake wenyewe wanajikweza sana tu, kila mrembo anajifanya yupo level za Klynn ama Zari Ze Bosslady so lazma wahuni nao wajivike matagi tu hamna namna! Kila mwanamke ana class na mzuri ana kazi nzuri na kaolewa ila hatujui kama wengine jau na pengine ni wadangaji tu wale wa huna kitu hupati kitu! Hivyo maigizo yametawala pande zote tu tupunguze lawama.
Warembo, kama umewaka kunjua roho mpe shavu muhuni kiroho safi maana raha wote mtapata, hivi vitu sio vya kuringiana kabisa muhimu mjali kinga tu. Ifikie time tukue tuache utoto jamani.
I don't have stress only huwa naandika ninacho amini mkuu. So sina stress my dear naandika ninachoamini hyo ya stress ni kama tu kunikatisha tamaa ya ninacho amini
Hahaha[emoji119] [emoji119] [emoji119]Mie sina hata hamu na wanaume wa humu.
Nimekutana na mkaka akasema anamiliki kampuni...hahahhah
Chinekeeee.
Bora hata mie ninayemiliki makalio.
Yule kaka sijui kaniblock, simuoni kabisa jukwaani.
Huyu dada sijui alikua anawaza nin aiseeNamba 4 na 5 [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
Hata sio stress mtu kuanzisha mada au ku comments maoni yake ndo mitazamo hyo kinachotakiwa uvumilivu tu. Mbona mie shaanzishiwa mada humu so hamna cha ajabu. Sasa watu wasipoanzisha mada sikuta doda. Kulalamika ni nature ya mtu tena hutibu maradhi mengi sanaHahahahha
Mi nikiona watu wana anzisha mijadala ya kuwalalamikia watu humu, naona hizo ni stress tupu.
We papuchi utatoa ukiambiwa huo ukweli? Maana msingi wa kutaka kuonana ni uwezekano wa kulana. Huo ukweli utaweza ishi nao?