Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Umeona sasa. Wengi hamna hoja za sababu za kuwa waongo.Achana na hao waongo njoo kwangu nahisi utayajua mengi zaidi ya hayo.
Muite mleta uzi ndio kakutana na waongo 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona sasa. Wengi hamna hoja za sababu za kuwa waongo.Achana na hao waongo njoo kwangu nahisi utayajua mengi zaidi ya hayo.
Bora mtu muwazi unadaganya Ili Iweje hyo ni childish
Watu wanaingia na Gia zote kama nyie mnavyoishi humu kwa comment zenu anakaba angle izo ukijaa wake.Kwanini sasa uwe muongooo?
Kwani ukisema unamiliki bajaji Madame atakukataa?
Mbona mie babe wangu anamiliki TZF 11 na nainjoi nae tu!
Hahahhahahah.....huenda
Akajitapa ana kampuni ya tours sijui kapiga picha ofisi ya mtu atajijua yeye huko Arusha.
Ghafla anataka kuja Dar kunitembelea, kupiga mahesabu ya gharama za kukaa wiki hotel + chakula + vinywaji + ya usumbufu wangu ([emoji5][emoji5][emoji5]) ikaja Mil 1.9 na senti.
Jamaa akasema anaenda kuchenchi pesa Bureau de change huko huko Arusha.....mpaka leo hajarudi pm wala wasap, itakuwa kuna foleni mpaka leo huko dukani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyoooooo.....anadhani matumizi ni kama matako, kila mtu anayo!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Kabisa.Bora mtu muwazi unadaganya Ili Iweje hyo ni childish
Ndio hapo sasa. Inabaki aibu tu na kupita kimya kimya. 😂😂😂😂Sasa wanaweka chumvi ili iweje?
Haya sasa, watu wanakuja kuanikwa kama mtama hapa.
Mie kwa kweli ndio maana nilishindwa mapenzi ya Jf.
Chaaaa!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ipi hiyo mkuuNina sifa moja tu hapa.
Ahsante kwa kuitaja
Naona unataka kubadilisha upepo sasa Word. Leo ni zamu ya Me tu. 😂😂Watu wanaingia na Gia zote kama nyie mnavyoishi humu kwa comment zenu anakaba angle izo ukijaa wake.
Ila kuna ukweli hapa.Watu wanaingia na Gia zote kama nyie mnavyoishi humu kwa comment zenu anakaba angle izo ukijaa wake.
Kwani wewe c unafaa tu Au unahisi mm muongo?Umeona sasa. Wengi hamna hoja za sababu za kuwa waongo.
Muite mleta uzi ndio kakutana na waongo [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂Nasubiria povu nifulie nguo chafu kesho jpili
Sihitaji ndio sababu.Kwani wewe c unafaa tu Au unahisi mm muongo?
Naona unataka kubadilisha upepo sasa Word. Leo ni zamu ya Me tu. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] noo upepo hauendi popote mfano Shadeeya Mi nakuona kabisa we huna makuu wala nini lazima nitakuingia Kama ulivyo tuu au Ki decent decent tuuIla kuna ukweli hapa.
Watu wanaingia na Gia zote kama nyie mnavyoishi humu kwa comment zenu anakaba angle izo ukijaa wake.